Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tukio la mauaji ya mwandishi wa habari wa chanel ten yaliyofanywa na polisi Iringa, nilitegemea kuona au kusikia msimamokutoka kwa waandishi wa habari nchini mkilaani tendo hilo la kinyama lkn...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kulingana na maadili ya kazi yangu siruhusiwi kujihusisha na siasa. Lakini kinachonishangaza ni mfumo mbovu uliojengeka wa kulindana pale kiongozi anapofanya makosa. Nakubaliana Dr Slaa kwamba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepata habari kwamba baa ya kigogo m1 iliyopo magomeni garden inavunjwa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ethiopians r linking this meeting with the demise of two of three African leaders; any fouls played? I for one, don't believe in conspiracy theories
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sisi wanachadema tunalaani sana mauaji ya mwandishi wa habari iringa. kwani hatujui ni kwanini polisi waliamua kuua mwandishi wa habari .Haliambapo yeye siye aliyeitisha mkutano.Hatahivyo sababu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Binafsi nachukia sana mauaji ya raia yanayofanywa na jeshi la polisi wa Tanzania. Hawa polisi tatizo lao kubwa ni kuwa hawajui hasa kazi zao ni zipi na pia wanatumiwa na wenye mamlaka kuudhoofisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Geita Gold Mine Zonal Secretary, Mr Joseph Mang’enya, told the ‘Daily News’ via telephone from Mwanza that they are concerned by unions allied to the management which frustrate efforts for...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inabidi swala la marehemu mwangosi tulijadili kabla hawajalipeleka mahakamani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JUMAMOSI, SEPTEMBA 01, 2012 06:25 NA OSCAR ASSENGA, KOROGWE WAFANYABIASHARA wa Soko la Manundu lililopo wilayani Korogwe, wameiomba Serikali kumuwekea ulinzi wa kutosha Mkuu wa Wilaya hiyo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwenye taarifa ya habari ITV, Huwa wanaonyesha clip ambapo kajamaa kanaenda mbele ya FFU ambao wao full armed, na kuwaonyeshea middle finger, huku FFU wakikatizama tu. Kale kabaunsa ni ka-polisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? Kwa nini unaringa mchana kutwa, wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu? 2Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya maangamizi, ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninaamini baadhi yetu bado tuna masalia ya tabia za kimsituni situni hivi! Kuna faida gani ya kukimbia kupiga picha marehemu ambaye hajahifadhiwa vizuri? Ni ubinadamu gani huu tulionao kwamba...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Naona leo Slaa kaweka live mambo yote yaliyokuwa nyuma ya pazia. Kaongelea unafiki wa Sitta kaatika uchaguzi mkuu 2010, kuhusika na CCJ, Unaibu Waziri, kutaka kiti cha Uspika 2010, nk. Sitta ni...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hebu tuangalie haya: -Serikali ya CCM kupitia polisi wamekuwa wakiua raia wasio na hatia HIVYO CCM=Chama Cha Mauaji! -Bendera yao inathibitisha haya: *Nyundo kwa ajili ya kuponda vichwa vya...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Naona sura zinaelekeana hata umakini,pia hata jina Mrisho wote wanatumia.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
21 Ways Rich People Think Differently By Mandi Woodruff | Business Insider World's richest woman Gina Rinehart is enduring a media firestorm over an article in which she takes the "jealous"...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali ya CCM unajiua na kuua chama bila kujitambua. Naonmba nianze na swali hili: Hivi washauri wa serikali na chama cha CCM mko wapi? Nani kawaloga hata mkaamua kujichimbia kaburi wenyewe ...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana jf, Mimi ni muumini wa chama fulani cha siasa, Mke na watoto imetokea wakawa na itikadi tofauti na ya kwangu. Kutokana na matukio ambayo wamekuwa wakiyaona kupitia vyombo vya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nikiwa na uchungu, machozi yakinilenga lenga nimetafakari jambo hili. Napendekeza tuwe na mgomo dhidi ya Jeshi La Polisi nchi nzima. Kila mtu amsusie polisi popote pale, tukikutana barabarani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
If you walk along the Dsm city centre a.k.a Posta utakubaliana na mimi kuwa mji wetu ambao ilipangwa vizuri sana na Wajerumani kwa sasa mitaa yake haipendezi tena kama ilivyokuwa kabla ya ujenzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…