Mmeamua kulinyamazia janga hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmeamua kulinyamazia janga hili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mapanga3, Sep 5, 2012.

 1. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 663
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 180
  Tukio la mauaji ya mwandishi wa habari wa chanel ten yaliyofanywa na polisi Iringa, nilitegemea kuona au kusikia msimamokutoka kwa waandishi wa habari nchini mkilaani tendo hilo la kinyama lkn nililoshuhudia ni kauli za kujichanya, huyu anasema hivi na mwingine vyake hii inaashiria hakuna umoja kati yenu. Tukio hili kama mtalifumbia macho mtaendelea kuuwawa mmoja baada ya mwingne. Serikali haiwezi kusimama upande wenu kwa sababu wanaweza kuwa ni wahusika kwa namna moja au nyingine. Nilitegemea kuona mnagomea kuandika wala kutangaza habari zinazo husu serikali mpaka watakapochukua hatua dhidi ya jesh la polisi lakini badala yake mnachapakazi kama kawaida au ndiyo njaa nini! Bado tunaendelea kungoja kusikia kutoka kwenu fungukeni mueleweke.
   
Loading...