Kajamaa kanakowadindia Polisi, , , | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kajamaa kanakowadindia Polisi, , ,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Sep 4, 2012.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,027
  Likes Received: 3,220
  Trophy Points: 280
  Kwenye taarifa ya habari ITV, Huwa wanaonyesha clip ambapo kajamaa kanaenda mbele ya FFU ambao wao full armed, na kuwaonyeshea middle finger, huku FFU wakikatizama tu. Kale kabaunsa ni ka-polisi, na kanatumika kama chambo tu, kuweni makini makamanda iyo nayo ni mbinu ya kiintelijensia ya kuonyesha CDM inadharau amri ya so called"halali" ya polise hivyo kuhalalisha kipondo.
   
 2. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du hii km nimeiona au nakosea? ni katika yale Maandamano ya pale iringa mjini mbele ya Mh Chiku Abwao na Kamanda wa FFU au tangazo gani maana kweli pale kuna jamaa anabishana bila woga hebu dadavua tukae kitahadhari
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Kwani ulitegemea kila mtu akiwa mbele ya polisi lazima awe mwoga? Hiyo ndiyo inawapa polisi ujasiri au usugu wa kuonea wananchi ikiwa ni pamoja na kuua hovyo. Polisi wanapaswa kuwa walinzi wa raia na si wanyanyasaji wa raia. Hata magerezani kuna miongozo ya kuwaadhibu wafungwa. Raia asiye muhalifu na anayetetea haki zake ana kila sababu na haki ya kubishana na polisi.
   
 4. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kwan mnaogopa polisi
   
 5. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Jamaa yangu kwa nini usiisome uzi wa kwanza? mm hapo nimeficha (mtu akikuonyesha kidole cha kati maana yake anakuingizia wapi? HILO KAKUTUKANA) kwa nini asikulipue fuatilia picha hiyo huyo jamaa anaonekana hata leo mbele ya Chiku Abwao ndio maana namuuliza mtoa uzi ni hiyo Clip? ww unadakia POLISI ni walinzi wa Raia kwa hilo la tusi NO BIG NO unastahili kichapo mfuatilie huyo jamaa tumetahadharishwa na wakazi wa irnga kuwa ni askari mwenzao yuko kwa ajili ya kuchafua hali ya hewa.
   
Loading...