Mjadala wa kifo cha marehemu mwangosi

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
247
Inabidi swala la marehemu mwangosi tulijadili kabla hawajalipeleka mahakamani
 
Wanasheria watupe mwongozo kuhusu hili. Je, swala likifika mahakamani inakuwa marufuku kabisa kuliongelea au inategemea namna unavyoliongelea? Je, nikiongelea jinsi nilivyomjua marehemu, wema wake, ukorofi wake, umahiri wake kikazi n.k. ninakuwa nimekiuka sheria?
 
Inabidi swala la marehemu mwangosi tulijadili kabla hawajalipeleka mahakamani

sawa, lakini ni vizuri ukatoa hadidu za rejea za mjadala in your perspective maana swala hili linaendelea kujadiliwa katika media mbalimbali, je, wewe una hoja mpya?!, leta tuijadili.
 
Who is going to control mjadala huo na ni kwa maslahi gani? Swala la Ulimboka limejadiliwa sana na sasa je, mijadala hiyo imeleta nini chenye maana? Umesikia tena Ulimboka anazungumzwa? Kusema sana habari za marehemu kwa sasa bila objective haina positive impact kwa familia yake. Sema izungumzwe historia yake ili kumuenzi
 
Back
Top Bottom