Video: Slaa auweka wazi Unafiki wa Sitta

Chapakazi

JF-Expert Member
Apr 19, 2009
2,874
310
Naona leo Slaa kaweka live mambo yote yaliyokuwa nyuma ya pazia. Kaongelea unafiki wa Sitta kaatika uchaguzi mkuu 2010, kuhusika na CCJ, Unaibu Waziri, kutaka kiti cha Uspika 2010, nk.
Sitta ni hatari kwa maendeleo yetu. HAFAI KUWA KIONGOZI WA CHEO CHOCHOTE!

Last edited by a moderator:
Kweli Dr.Slaa siyo wa kuchezewa, yani kamvua nguo Samuel Sitta mbele ya watoto. Tuone wanaomtetea ama kama kweli yeye si mnafiki akanushe habari hizi. HApa ndiyo kajimaliza kabisaa kutaka kuja kugombea Uraisi kwa ticket ya chama chochote.
 
Mimi nilikuwa namuamini kidogo Sitta ila kwa mtiririko wa maelezo ya D.r Slaa nimekundua Sitta ni ndumila kuwili na kuanzia leo naomba mniunge mkono kumbatiza jina la NDUMILA SITA sasa kama anajua yote aliyotenda kwani ni anatemper na cdm? CCM sasa wanatakiwa wamamlizie hapohapo aende NCCR au TLP au UDP CMD basi tena!!
 
Kweli Dr.Slaa siyo wa kuchezewa, yani kamvua nguo Samuel Sitta mbele ya watoto. Tuone wanaomtetea ama kama kweli yeye si mnafiki akanushe habari hizi. HApa ndiyo kajimaliza kabisaa kutaka kuja kugombea Uraisi kwa ticket ya chama chochote.

Chadema wangeweka evidence ingemaliza kila jambo. Maana sasa akikanusha si inakuwa mambo ya 'he said..., she said...'
 
Huyo babu wa chadema mzee SLAA keshafulia . Au kwisha habari yake . Kikwete alishamdharau muda mrefu sana . Sasa kavamia kwa sita . umri umeshafika na sasa anatafuta mtu wa kufa naye
 
lakini ninajiuliza pia umakini wa Chadema. Baada ya Sitta kuonyesha kutetea ufisadi akiwa kama spika bungeni kwa kugunga mijadala mbalimbali, kumtoa Zitto bungeni, nk (Slaa ameeleza vizuri katika hii video), Chadema walikuwa tayari kumpa ticket ya kugombea Urais kupitia chama chao?! Kwa maoni yangu, hii sio hekima hata kidogo.
 
Humu ndani ya jamvi ninahisi wengi ni watu wa kufuata mkumbo tuu.
Mwaka jana wakati alipokuwa anajinasibu na ukamanda dhidi ya ufisadi niliwaambia kuwa huyu mtu ni hovyo kabisa
nikajaribu hata kuelezea ufujaji wa mali ya umma aliyokuwa anaufanya wakati akiwa spika. na nikawaeleza alilazimisha hata ofisi ya spika kujengwa kwao urambo kama vile alikuwa na uhakika wa kuwa spika wa kudumu.
Humu ndani nilibezwa na kunasibiwa na watu wasio na upeo wa mambo. Jee leo mnasemaje???
naomba niwaeleze kuwa siyo sitta peke yake. Kuna viongozi wengi ambao leo mnawashibikia lakini wana madudu mengi kiasi
huwa ninajiuliza hivi wakipewa nchi itakuwaje??? maana hivi sasa wako upinzani lakini matanuzi yao siyo ya kawaida.
kwa maoni yangu kiongozi ambaye hana kashfa hadi sasa ni lipumba tuu ingawa naye amechuja[watanzania hawapendi watu wa sampuli yake.
 
Chadema ni chama cha kuchukua makapi ya ccm. Kama waliweza kumteua JOSEPH MBILINYI mr 2 ex fORM 4 muimba bongo fleva (mvuta bangi) + nyimbo za matusi . Kuwa MBUNGE wa MBEYA MJINI watashindwa kumpa sitta agombee URAIS ikiwa hawana mtu mwenye sifa katika chama chao cha CHADEMA. Wenyewe kwa wenyewe wanagombana uroho wa madaraka , ukabili, njaa etc kuanzia hicho kibabu SLAA hadi kina ZITTO. Na hapo uchaguzi bado
 
Kwa mtazamo wako kati ya jk na slaa nani wa kudharau maana umejibu kwakukurupuka tu pasipo kufikiria
 
Huo ni mtazamo tuu babu kwani nafasi yake ashaichezea kwakukubali kufunga ndoa na nduli ccm chama ambacho hakuna mTz anaetaka kukisikia
 
Chadema ni chama cha kuchukua makapi ya ccm. Kama waliweza kumteua JOSEPH MBILINYI mr 2 ex fORM 4 muimba bongo fleva (mvuta bangi) + nyimbo za matusi . Kuwa MBUNGE wa MBEYA MJINI watashindwa kumpa sitta agombee URAIS ikiwa hawana mtu mwenye sifa katika chama chao cha CHADEMA. Wenyewe kwa wenyewe wanagombana uroho wa madaraka , ukabili, njaa etc kuanzia hicho kibabu SLAA hadi kina ZITTO. Na hapo uchaguzi bado

Najua akutukanae hakuchagulii tusi maana kama wewe uliyejifanya umeyaona mabaya yote hayo na hukumpigia hata kura ila bado anasimama kama mtetezi wako na waTz wote, kumbuka huyo huyo ndo pekee aliyeweza kutuliza machafuko mliyoyaanzisha ccm na police wake pamoja na silaha zote nzito mlizotumia mlishindwa ila yeye kwa maneno yake yenye busara akaituliza ile hali huku mkibaki kuinamisha vichwa vyenu chini!
 
Kwa mtazamo wako kati ya jk na slaa nani wa kudharau maana umejibu kwakukurupuka tu pasipo kufikiria

kwahuku AFRICA sababu kubwa hakuna kuwajibishana basi hata akija RAIS EBRAHIM hakuna jipya si upinzani wala chma Tawala ni walewale 2 MFANO HAI SOUTH AFRICA maisha magumu masha hayana amani inafika wakat wana mkumbuka KABURU..kwa maendeleo ghalama za maisha ilikua chini KENYA ..EGYPITY..ANGOLA.. ZAMBIA..NK huwezi kua na mabadiliko ya maisha kama UWAJIBIKAJI hakuna
 
Chadema ni chama cha kuchukua makapi ya ccm. Kama waliweza kumteua JOSEPH MBILINYI mr 2 ex fORM 4 muimba bongo fleva (mvuta bangi) + nyimbo za matusi . Kuwa MBUNGE wa MBEYA MJINI watashindwa kumpa sitta agombee URAIS ikiwa hawana mtu mwenye sifa katika chama chao cha CHADEMA. Wenyewe kwa wenyewe wanagombana uroho wa madaraka , ukabili, njaa etc kuanzia hicho kibabu SLAA hadi kina ZITTO. Na hapo uchaguzi bado

ee tunawaiga ccm kuchukua makapi yote ya tanu na acp
 
Chadema ni chama cha kuchukua makapi ya ccm. Kama waliweza kumteua JOSEPH MBILINYI mr 2 ex fORM 4 muimba bongo fleva (mvuta bangi) + nyimbo za matusi . Kuwa MBUNGE wa MBEYA MJINI watashindwa kumpa sitta agombee URAIS ikiwa hawana mtu mwenye sifa katika chama chao cha CHADEMA. Wenyewe kwa wenyewe wanagombana uroho wa madaraka , ukabili, njaa etc kuanzia hicho kibabu SLAA hadi kina ZITTO. Na hapo uchaguzi bado

Kweli wewe ni Kupe, tukiwa nao wengi kama wewe hata taifa litaangamia kwa kukosa maarifa.
 
jamani kama CDM walijua kwamba alimtoa Zitto kinyume na taratibu za kuwatetea mafisadi waliona ubora wake upi? mbona wao cdm walimwona kama anafaa ingawa alisha mtoa zitto bungeni.
 
JF bwana! full of people with fake IDs, trying to convince everyone what they say is right. Let's wait until 2015, We will see how Tanzania decides.
 
lakini ninajiuliza pia umakini wa Chadema. Baada ya Sitta kuonyesha kutetea ufisadi akiwa kama spika bungeni kwa kugunga mijadala mbalimbali, kumtoa Zitto bungeni, nk (Slaa ameeleza vizuri katika hii video), Chadema walikuwa tayari kumpa ticket ya kugombea Urais kupitia chama chao?! Kwa maoni yangu, hii sio hekima hata kidogo.

wewe unataka kuiamria CHADEMA ni vigezo gani wavitumie kumu-adopt Sita?, kwasababu tu alikufurahisha vile alivyoendesha mijadala ya fitma bungeni kwa maslah yake unataka kiwe kigezo cha CHADEMA KUMPOKEA?. Unasahau kuwa Sita amejipambanua mara nyingi kuwa ni mnafiki asiyeaminika kwa lolote?. Pole yako.
 
duh! kazi kweli kweli! Umeelewa nilichoandika?
 
Back
Top Bottom