Mh.J.MRISHO KIKWETE NA KAMISHINA WA SENSA TZ AMINA MRISHO NI NDUGU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.J.MRISHO KIKWETE NA KAMISHINA WA SENSA TZ AMINA MRISHO NI NDUGU?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by augustino ameri, Sep 4, 2012.

 1. a

  augustino ameri JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naona sura zinaelekeana hata umakini,pia hata jina Mrisho wote wanatumia.
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  hebu tupieni picha zao hapa!
   
 3. S

  Shaabukda Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una maana wote ni watu makini sana!?
   
 4. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama wana mahusiano yoyote ya damu. Nadhani mama Mrisho ni mwenyeji wa mkoa wa Kiteto, Manyara.
   
Loading...