RPC kamuhanda na IGP mwema someni zaburi ya 52 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RPC kamuhanda na IGP mwema someni zaburi ya 52

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwita ke mwita, Sep 5, 2012.

 1. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,491
  Likes Received: 1,220
  Trophy Points: 280
  Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya?
  Kwa nini unaringa mchana kutwa,
  wewe ambaye ni fedheha mbele
  za Mungu?
  2Ulimi wako hupanga mashauri mabaya ya
  maangamizi,
  ni kama wembe mkali, ninyi mfanyao hila.
  3Unapenda mabaya kuliko mema,
  uongo kuliko kusema kweli.
  4Unapenda kila neno lenye kudhuru,
  ewe ulimi wenye hila!
  5Hakika Mungu atakushusha chini kwa
  maangamizi ya milele:
  atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu
  kutoka katika hema yako,
  atakung’oa kutoka nchi ya walio hai.
  6Wenye haki wataona na kuogopa,
  watakapomcheka, wakisema,
  7“Huyu ni yule mtu ambaye
  hakumfanya Mungu kuwa ngome yake,
  bali alitumainia wingi wa utajiri wake
  na akawa hodari kwa kuwaangamiza
  wengine!”
   
Loading...