Hivi haya yote ni coincidence kwa CCM?

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Hebu tuangalie haya:
-Serikali ya CCM kupitia polisi wamekuwa wakiua raia wasio na hatia HIVYO
CCM=Chama Cha Mauaji!
-Bendera yao inathibitisha haya:
*Nyundo kwa ajili ya kuponda vichwa vya watanzania.
*Jembe kwa ajili ya kuchimbia makaburi ya watanzania.
*Rangi ya kijani ndiyo majani yatakayo ota kwenye makaburi ambayo CCM wanataka kutufukia.
-USHAURI WANGU kwa watanzania:Tuungane kuteketeza CCM kwani ni janga la kitaifa.
 
hawa jamaa wameprove failure ila co kwa bendera coz hata bendera yetu ina nyekundu ambayo wengi wanaelewa n alama ya umwagaji damu.so usiende huko
 
hawa jamaa wameprove failure ila co kwa bendera coz hata bendera yetu ina nyekundu ambayo wengi wanaelewa n alama ya umwagaji damu.so usiende huko

Bendera yetu ina rangi nyekundu ikiwa na maan kuwa uhuru wetu wa kweli kutoka kwa mkoloni mweusi (ccm) umepatikana baada ya damu ya wazalendo wengi kumwaga damu zao kwa ajili ya uhuru huo wa kweli. Mfano Arumeru, Igunga, Arusha, Morogoro, Mbeya, Songea, Iringa na kwingineko. Hatuwezi kuacha kuenzi michango ya walioua katika mapambano ya kusaka uhuru wa kweli wa nchi yetu eti kwa sababu ya kuogopa rangi nyekundu. Chama cha Mauaji (ccm) kinawadanganya watanzania kuwa hakuna damu iliyomwagika lakini ukweli ni kuwa vita kama vile maji maji na vinginevyo viliwapoteza watanzania wengi ambao ilipaswa tuuenzi mchango wao ktk kudai uhuru wa nchi hii lakini ccm imewapuuza bila sababu za msingi.
 
does "not no argue" equal to "agreement"?. I have no arqument and/but do not agree.

It is a figure of speech, it may seem confusing to you but if you read all the two sentences then what I meant and communicated ought to be clear to all and sundry!
 
Join Date : 4th September 2012
Posts : 9
Rep Power : 302
Likes Received : 2
Likes Given : 0


Vizuri. ....lakini ulikumbuka kupitia 'jukwaa la utambulisho'??
 
Uchafu huu...ingekuwa ni kuiponda CHADEMA ungeshuhudia mitusi ya wana Chadema humu,ila kwa kuwa ni upuuzi ulioandikwa na mwenzao wanampongeza tu!
 
Back
Top Bottom