Siasa inanigharimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa inanigharimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mangaline, Sep 4, 2012.

 1. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wana jf, Mimi ni muumini wa chama fulani cha siasa, Mke na watoto imetokea wakawa na itikadi tofauti na ya kwangu. Kutokana na matukio ambayo wamekuwa wakiyaona kupitia vyombo vya habari, imetokea wakajenga chuki zaidi na chama ambacho mimi ni muumini wake. sasa hivi, (hasa baada ya tukio la iringa), hali ndani ya nyumba sasa imezidi kuwa tete. nimejitahidi kujieleza kuwa chama changu hakihusiki, sieleweki. Naombeni ushauri.
   
 2. W

  Wajad JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,124
  Likes Received: 294
  Trophy Points: 180
  Mke na watoto hawana 'dini' huria ila ya baba wa familia.
   
 3. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  kama unagida ugimbi kwani lazima na wao wagide

  you are the head of the family .... hell no !!!! .... afterall keep your family matters out of the crowd
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mkeo si muadilifu na huyo mwanawe kishaoneshwa baba'ke wa ukweli.
   
Loading...