Baa iliyopo magomeni garden inavunjwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baa iliyopo magomeni garden inavunjwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Sep 5, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,907
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  Nimepata habari kwamba baa ya kigogo m1 iliyopo magomeni garden inavunjwa.
   
 2. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 7,700
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  Au ndo kale kamradi ka mabasi ya umeme?
   
 3. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,412
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  jana nilipata pale nikaona ule upuuzi ! hivi wenzetu hizo shule zenu zinawasaidia nini ? bora yule Meya wa Ilala wakati mwingine ana idea za kumuingia mtu akilini !
   
 4. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,724
  Likes Received: 1,152
  Trophy Points: 280
  ni sahihi kuivunja kwanini kila eneo la wazi livamiwe na baa zinaweza kuwekwa sehemu nyingi hata nilipoona inajengwa nilishangaa sana
   
Loading...