mauaji ya mwandishi wa habari iringa

mabena

New Member
Sep 5, 2012
1
0
Sisi wanachadema tunalaani sana mauaji ya mwandishi wa habari iringa. kwani hatujui ni kwanini polisi waliamua kuua mwandishi wa habari .Haliambapo yeye siye aliyeitisha mkutano.Hatahivyo sababu ya kuzuia mikutano ya chadema haina mantiki kwani,watu kuhudhuri mkutano ni sawa na watu wengine walioenda kufanyashughuli nyingine kama za biashara,shamba au maofisini. Pia mkutano hauzuii watu kuhesabiwa kwani , hakuna kauli yoyote iliyotolewa na tume ya sensa kuwa watu wote wanatakiwa kukaa nyumbani mpaka sensa iishe.Hivyo kuzuia mikutano ya chadema bila sababu za msingi tunaomba iwe mwisho kwani, polisi wanaleta uvunjifu wa amani wanapotumia nguvu kubwa haliambapo hakuna vurugu zozote, mfano . Nyololo- Mfindi - mkoani Iringa.
 
Back
Top Bottom