Mauaji ya raia tatizo ni kuwa polisi wanatumiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya raia tatizo ni kuwa polisi wanatumiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkulia, Sep 5, 2012.

 1. M

  Mkulia JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Binafsi nachukia sana mauaji ya raia yanayofanywa na jeshi la polisi wa Tanzania. Hawa polisi tatizo lao kubwa ni kuwa hawajui hasa kazi zao ni zipi na pia wanatumiwa na wenye mamlaka kuudhoofisha upinzani jambo ambalo huligharimu taifa na kusababisha amani ya nchi kutoweka. Chonde!chonde! polisi tendeni haki katika kazi zenu na kulinda amani na mali za raia.
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  chagonja amesesha sema toka jana,wao wanatekeleza maagizo wanayopewa na watawala(serikakali ya ccm).nilimsikia jana redio one alikuwa akihojiwa asubuhi.
  pia polis wamepewa kutekeleza mauaji kwa wananchi wanaoenda kwenye mikutani ya chadema ambako ukweli kuhusu tanzania unasemwa,lakini kwenye mikutano ya ccm,wameambiwa wawaache maana kule wanfundishwa kucheza bongo flava na taarabu.
  mfano:mkutani wa bububu zanziba,alikuwapo mzee yusufu akifundisha kucheza taarabu.
   
Loading...