Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu, Leo nasikititka kutangaza kifo cha ndugu yetu Liana. Liana ni mtoto mkubwa wa kiume wa Mzee wetu anaemiliki Guest House ya Namnaani pale Sinza. Liana ni yule ambae alipata ajali kama...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wana jf, ni ajabu ilioje kutokuhesabiwa familia ya watu 7 huku mtwara.tupo jirani sana na ofisi za wilaya ya masasi. Tumetoa taarifa kwa wahusika zaidi ya mara 3...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi. Mkutano wa CUF unaendelea sasa hivi jangwani na TBC1 wanaonesha LIVE ingawa inaonesha ni kwa shingo upande kwa kuwa mara kwa mara sauti haisikiki. Lakini pia naona hata katika jukwaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa nimeipata muda huu, Treni ya abiria imenusurika kupata ajali mlima wa Salanda, baada ya kichwa kimoja cha treni kuwaka moto.. Source: mfanyakazi wa TRL
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Polisi wakorogana • Anayetuhumiwa kuua mwandishi akwama kufikishwa mahakamani na Abdallah Khamis Tanzania Daima WINGU jeusi limeendelea kutanda ndani ya Jeshi la Polisi mkoani...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Mtandao wa maendeleo ya wanawake nchini kupitia vikundi vya ujasiliamali(INUKA)umezindua mpango wa kuwapatia elimu vijana,wahudumu wa bar (bar medy)jinsi ya kujikinga na matumizi ya madawa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Marehemu Daud Mwangosi kulia enzi za uhai dakika 20 kabla ya kuuwawa kwake katika vurugu za wafuasi mwa chama cha CHADEMA na Polisi ambapo mwanahabari Daud Mwangosi amedaiwa kufariki katika...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Kama mtu ni dk na alikuwa padri mpaka mwaka 1990,mtoto wake anaesoma chuo cha dit emezaliwa mwaka 1987,je dk huyu alizaa akiwa padri au la?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ningependa kipindi cha tuongee asubuhi kirushwe redioni (rfa) ili kutoa fursa kwa watu wengi zaidi kusikiliza na kuchangia.my take huwezi kutenganisha haki na amani kwenye jamii na katika tz yetu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania ya 1980 si hiiya leo, imebadirika sana. Kama wewe hujazaliwa jijini au hata kama umezaliwajijini inatosha kuona tofauti ya DSM ya miaka 32 iliyopita. Nikiwa mdogo sana,katikati ya mji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Dawasco mko wapi huku ubungo kibo/rombo/baruti/ maji hayatoki kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Je kuna shida gani? Kwa nini msituarifu kupitia vyombo vya habari kuna shida gani? Huku ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ilitokea mida ya saa moja jioni ilikuwa inatokea Dar ilipofika salanda ndo moja ya engine yake iliwaka moto na kusababisha taharuki kwa abiria waliokuwa wanasafiri, baadhi yao kujeruhiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkoa wa Kagera hasa Bukoba kuna umasikini wa kufa mtu. Wahaya walioko Dar ni wanafiki tu lakini huko kwao ni shida tu. Hali hii imeletwa na wanakabila hawa kutokupokea kwa njia iliyo chanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau, Wikendi iliyopita nilileta uzi hapa kuwatahadharisha wadau kuwa makini na mtu anayetapeli watu kwa kutumia taasisi ya serikali ijulikanayo kama TANZANIA INVESTMENT...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za leo wana jf. Naomba namba za simu za mh.tundu lissu-mbunge wa singida mashariki.mwenye namba hizo naomba anipatie kwa kuijibu "post" hii
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Wakuu nakatiza hapa maeneo ya kiwanda cha sigara(nyerere road) nashuhudia moshi mkubwa sana unatoka kwenye moja ya store zao...wananchi wanaoshangaa ni wengi...mwenye kuwajua fire awape taarifa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
BAADA ya kimya cha muda mrefu, baba mzazi wa kiongozi wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk Stephen Ulimboka, amekubali kuzungumzia sakata la mwanaye kutekwa, kuteswa, kutibiwa na hatimaye...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Natoa wito kwa watawala na polisi wa Tanzania kusoma alama za nyakati kuhusiana na mabadiliko yanayopamba moto. kama ilivyo kawaida watu kubisha na kutokubali ukweli japo unajulikana wapo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf, naomba ushauri. Nina tumia airtel BB sevice kwa miaka mitatu sasa na kwa mwezi wanakata 35000 kwa mwezi na wanakata automatically ili muradi kuwe na salio. Sina uzoefu na mitandao...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Jmani Dawasco mko wapi huku ubungo kibo/rombo maji hayatoki kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Je kuna shida gani? Kwa nini msituarifu kupitia vyombo vya habari kuna shida gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…