Habari za leo wapendwa, naomba kama kuna yeyote amesikia kauli ya ephraim kibonde ktk kipindi chake cha jahazi kuhusu kifo cha mwandishi Daud Mwangosi anijuze tafadhali maana naona habari hii ni...
Mgodi wa kahama mining umechimbwa chini kwa chini hadi wamefika sengerema serikali yetu ipo tuu wala hawatoi tamko lolote,mgodi wa kahama kuna ofisi chini malori yanaingia chini kutoa mchanga...
Labda kwa ufupi niwaeleze kuhusu hili sakata la huko Madale. Hawa wavamizi bana wakija kwenye eneo lako hawajalishi ulisha liendeleza kwa vipi. Wao wakifika kama ni wewe au ni mlinzi wanampiga...
Watanzania wenzangu kuna yeyote anae weza kujisifu kwa umauti,je waweza kujisifia kwa kumpoteza ndugu au jamaa yako wa karubu na kugeuza kilio kuwa ufahari?kama sivyo kwanini tujisifie kuwa jamaa...
Nimesikikia tetesi kuwa kesho kutakuwa na maandamano makubwa ya amani nchi zima ya waandishi wa habari kupinga mauaji ya mwandishi mwenzao aliyeuawa huko iringa.NI WAKATI WA WAANDISHI WA HABARI...
Wanajamvi,
Kumbukumbu yangu ni kuwa mikusanyiko ya watu, ikiwa na ya siasa ilikatazwa kwa sababu ya Sensa.
Hii ikiwa ni pamoja na kukatazwa/kusitishwa kwa kazi zote zilizokuwa zikifanywa...
Nakumbuka kamanda wa polisi wa kanda maalum ya kipolisi ya jiji la Dar, Suleiman Kova, alijitokeza mwezi wa saba mwaka huu na kulifahamisha Taifa kuwa wamemkamata mtu mmoja [chizi] toka Kenya...
1. Kuwa na mazoea ya kutenda mambo yaliyo mema kwa binadamu wenzako, tenda japo jambo moja tu lililojema kwa siku ... hebu jiulize umetenda mema mangapi kati ya jana na leo? Mabaya mangapi uliyo...
Clouds FM wametangaza kuna ujambazi unaendelea sasa hivi kwenye benki ya CBA iliyopo jengo la Jamana. Mwenye mawasiliano na askari tafadhali toa msaada wa haraka sana.
Ni wanaohusika na Stendi ya Mabasi ya Abiria pale Mailimoja. Kila basi linaloingia pale hutozwa 1000-kubwa na 500-dogo. Hata likiingia mara kumi kwa siku,hulipa mara zote hizo. Halafu,tiketi...
MAHAKAMA Kuu Kanda
ya Dar es Salaam,
imetupilia mbali
maombi ya Shirika la
Umeme Tanzania
(Tanesco) kutaka
isitishe utekelezaji wa
malipo ya Sh96 bilioni
kwa Kampuni ya Kufua
Umeme ya...
Channel 10 siku kadhaa zilizopita walitangaza kwamba siku ya jumamosi ambayo ni leo majira ya saa 2 usiku watakuwa na kipindi maalumu kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari Iringa, ajabu mida hii...
Leo ni jumapili nyingine katika mwaka huu. Ni siku nyingine kwa wakristu kumshukuru mwenyezi MUNGU kwa baraka na ulinzi aliowajalia bila kusahau afya njema.Ni siku ya kuwaonea huruma na kutembelea...
Wakulima wa kilimo cha mpunga, kupitia chama chao cha CHAURU huko Ruvu mkoa wa Pwani wametendewa unyama mkubwa na viongozi wa chama hicho baada ya kukusanya pesa zao zikiwa ni gharama za...
FELLAS HII KITU NIMEIPATA KWA WALL YA MTU NINAYEMHESHIMU SANA, NAOMBA NIILETE KWENU TUIJADILI.
''''
Amina Chifupa alikuwa anawajua........................
Rais Jk auza nchi kumuokoa mwanae...