Kahama maining wanapora dhahabu yetu wanachimba nje ya sehemu waliopangiwa kisheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kahama maining wanapora dhahabu yetu wanachimba nje ya sehemu waliopangiwa kisheria

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LENGIO, Sep 9, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,012
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mgodi wa kahama mining umechimbwa chini kwa chini hadi wamefika sengerema serikali yetu ipo tuu wala hawatoi tamko lolote,mgodi wa kahama kuna ofisi chini malori yanaingia chini kutoa mchanga mgodi uko zaidi ya km 90.serikali inawataalamu pale wanaelewa lakini hakuna kinachoendelea labda tunaitaji handaki.
   
 2. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,207
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Mkuu,kuna tetesi wanataka wachimbe mpaka lake victoria chini kwa chini.
   
 3. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,200
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  ndo faida ya kuwa na raisi legelege, naona huruma sana kwa watoto wetu, watachapa makaburi yetu wote, tuliokuwa tunasikia na wala hatukuinua sauti zetu
   
 4. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,045
  Likes Received: 626
  Trophy Points: 280
  Uongozi dhaifu, nchi dhaifu
   
 5. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,224
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Watu wamepga teni pacent
   
 6. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wache wachimbe 2 mkuu wakimaliza kuchimba hayo mashimo 2tayaweka lami mabasi yapite chini kwa chini mkuu
   
 7. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #7
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  maajabu haya MKUU ROMBO ni wewe umetokezea huku leo kweli maandaki ya dhahabu ni kiboko unaweza ingilia CDM ukatokezea CUF na ukarudi tena ukatokezea CCM
  acheni wachimbe tutapata njia chini kwa chini kwani Zitto alishayafuatilia haya makampuni akakuta yanalipa mrahama na kodi vizuri saaana
   
 8. Ngigana

  Ngigana JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Siyo bure Kamuhanda wa Iringa akachunguze, lazima CDM wanahusika na uchimbaji huu.
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,723
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  halafu Nape na Mwigulu hawayapigii kelele. Wapuuzi kweli hawa, wao ni kutuita wanachadema maskini.
   
 10. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ni upepo tu utapita , ila nafikiri hii iundiwe tume
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,600
  Likes Received: 786
  Trophy Points: 280
  Shareholding hiyo!!! Kila mikataba mikubwa ina under-cover owners from TZ!!! Shamba la bibi!! Yaani mbona madudu mengi sana na ndege zinatuna na kuchukua na hazikamatwi!!!!?? Dhaifu na legelege.
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,965
  Likes Received: 889
  Trophy Points: 280
  Jamani, tuhuma kama hizi zinakuwa na uzito kama kuna ushahidi.
   
 13. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Iiiii, mnanitia presha, yaani nyumba yangu ipo juu ya shimo.
   
 14. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 2,861
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Habari yako hiyo si sahihi yawezekana wewe umeambiwa tu hakuna kitu kama hicho hizo ni hadithi za Barabarani angalia sana chanzo chako cha habari kina walakini.
   
 15. S

  SWEET HUSBAND Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimechekaje sasa,looh,utashtukia tu house inadidimia mpaka inazama!!
   
 16. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,890
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Purely taarifa za kwenye vijiwe vya kahawa. Sina uhakika kama unajua unachokizungumza na nina wasiwasi na uelewa wako katika taaluma ya madini. Aliyekupa habari hii anakufanya uonekane zoba na kituko mbele ya watu wenye weredi wa masuala ya madini kama mimi.
   
 17. papason

  papason JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hizo ni habari za kwenye vikao vya kahawa!

  Hivi Kutoka Kakola (ulipo mgodi wa Kahama Mining) adi Sengerema ni Km ngapi?

  Duniani hakuna mgodi wa namna hiyo mkuu!
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,602
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Hebu tuambie unachokijua wewe basi. Toa hoja ya counter attack kiweledi zaidi basi.

  Tuambie mgodi huo ni open mine au sio open mine, kama unakwenda chini badi ni kiasi gani na kama unakwenda kwa mapana unakwenda kiadi gani kisheria na kimkataba.

  Unajua unapopokea mahari ya mwanao, huwezi kujua kijana anamfanya aje huyo mwanao usiku wakiwa peke yao chumbani. Wakati unafikiri watakuwa wanafanya mapenzi kawaida, inaweza ikawa mwanao anafir.wa na huwezi kujua kama yeye hasemi.
   
Loading...