Comments za kibonde kuhusu kifo cha Mwangosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Comments za kibonde kuhusu kifo cha Mwangosi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kivyako, Sep 10, 2012.

 1. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 6,716
  Likes Received: 2,182
  Trophy Points: 280
  Habari za leo wapendwa, naomba kama kuna yeyote amesikia kauli ya ephraim kibonde ktk kipindi chake cha jahazi kuhusu kifo cha mwandishi Daud Mwangosi anijuze tafadhali maana naona habari hii ni mtego kwake, je ameegemea upande wa serikali ya ccm na jeshi lake la polisi au upande wa mwandishi mwenzie japo alikuwa anaripoti habari za chadema? ni hayo wakuu.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,212
  Trophy Points: 280
  Siku hizi kuna Gadner G Habash....Washaachana na Kibonde.
   
 3. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,044
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Tumehamia Times Fm kwenye kipindi cha Maskani na Gadna G Habash
   
 4. C

  Concrete JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,608
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Kibonde alijifanya yuko Neutral kwenye issue ya Mwangosi.

  Kifupi Jahazi limeshazama zamani, siku hizi watu wanasikiliza Times Fm kipindi cha maskani kinachoongozwa na Gadna Habash, muda ule ule jahazi likiwa hewani. Bahati mbaya Times Fm haisikiki mikoani zaidi ya Dar, Arusha na Mwanza.
   
 5. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Gadna G.
   
 6. n

  ngonani JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Hivi Kibonde ni yule wa maisha ni house?mbona yule kama ana busara kidogo
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  times Fm iko hewani just google mtaiona,
  Kibonde alishabondeka na kuzama siku nyingi
  captain ana jahazi jipya times fm na anongea ya busara na hekima
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,454
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  Kibonde kalizamisha jahazi.. wamtimue tu kuna dogo Anold kayanda naona anajitahidi sana
   
 9. awp

  awp JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kazi ipo
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,945
  Trophy Points: 280
  Why you accolade this mummpy beats me
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  nawezaje kuipata Arusha?
   
 12. R

  Rahim usanga Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kibonde kafulia anaendekeza chama,now days hata serikali inapokosea wanakosolewa ila kibonde nadhan anataka ubunge kupitia ccm.tune times umckie GADNER G HABASH,mida ileile ya jahaz
   
 13. R

  Rahim usanga Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kibonde kafulia anaendekeza chama,now days hata serikali inapokosea wanakosolewa ila kibonde nadhan anataka ubunge kupitia ccm.tune times umckie GADNER G HABASH,mida ileile ya jahaz
   
 14. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  uciumize kichwa kwa mtu asiye na akili
   
 15. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 6,716
  Likes Received: 2,182
  Trophy Points: 280
  Poa wakuu nimewapata
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,040
  Trophy Points: 280
  Ndio tatizo hapo, kuna haja ya kurusha matyangaza kwenye mikoa yote ili umma ufunguke macho na kuburudika pia.
  Mungu jalia, watapata mitaji ya kufunga transmita mikoani
   
 17. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hana ugomvi na wanyakyusa.
   
 18. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Times FM haisikiki sehemu nyingi lakini Gadner Habash ataipaisha.
   
 19. p

  pilau JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nimefurahi sana kusikia Gadna G. Habash yuko live Tmes FM maana hawa kina Kibonde wanabondesha hawana mvuto tena
   
Loading...