Alliance 4 Democtratic Change ni CHADEMA namba mbili ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alliance 4 Democtratic Change ni CHADEMA namba mbili !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaNanii, Sep 10, 2012.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Yaani ukiangalia rangi za bendera ya chama cha ADC na CHADEMA utaona vyote rangi zinafanana. Hivi hiki chama cha ADC ni CHADEMA namba mbili !
   
 2. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Wanatafuta mbeleko hawa ACD hasa vijijini watapokelewa kwa kudhaniwa ni chama dume CDM.
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Mkuu attachement yako ni picha ya CDM
   
 4. Grenade

  Grenade Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa za bongo bana?? uyu mleta mleta mada nae hajielewi, sasa unaposema CHADEMA no 2 unamaanisha nini?? Acha kufikiri kitoto!
   
 5. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 6,830
  Likes Received: 3,951
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha! Hayo manyota matatu kwenye bendera ya ADC siyaelewi! Ndo yanawakilisha nini hayo? Au walidhani hii ni "religious" republic nini? Kwa hilo tayari wame-fail kabla ya kuanza.
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,931
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 6,830
  Likes Received: 3,951
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha! Sijaona think tank ya maana hapo. Labda huyo m-babu aliyekaa mbele kushoto.
   
 8. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 12,931
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 9. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,352
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  ADC waende wakamfie mbele huko! Ha! ha! haa!
   
 10. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,683
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni ka-chama tu, kakikua katakuwa li-chama. Good luck as long as hakana sera za mabwepande
   
Loading...