Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni maeneo ya Kwangulelo baada ya jamaa mmoja mwenye gari alipomuua dereva wa pikipiki baada ya kupita gari lake ghafla. (pikipiki ilichomekea gari) Mwendesha bodaboda alisimama pembeni ya...
7 Reactions
115 Replies
8K Views
Guys kama mmesikia kuna taarifa kwamba standard chattered wamevamiwa na majambazi na kuibiwa kama walivyofanya pale CBA....Siyo kweli,it was just a stress test.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama serikali/TRA inawatambua na kuwaorodhesha makampuni yanayolipa kodi kubwa, kwanini isiwataje pia wafanyakazi wanaolipa kodikubwa? kwa sababu naamini mfanyakazi ndiye mlipa kodi mwaminifu...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Hii ni ajabu sana, hivi kustaafu maana yake nini. Ukifika wakati wa kusahihisha mitihani toka kwenye vyuo vya uuguzi, basi utakuta Wizara ya afya kitengo cha mafunzo ya uuguzi wanawaita wastaafu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ofisi ya usajili wa wauguzi wizara ya afya imekuwa ikiwanyonya wauguzi pesa zao kwa kipindi kirefu sana. Msajili wa wauguzi hawa amakuwa akijinufaisha yeye na mapato. naomba kujua yafuatayo, 1...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Jeshi la Polisi nchini na Halmashauri ya wilaya ya Ilala wamekataa ombi la waislam kufanya swala ma mkutano waliokuwa wameupanga kuufanya ndani ya viwanja vya Jangwani leo kupinga filamu inayo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Maandamano makubwa yametawala nchini India baada ya serikali kuruhusu makampuni ya kigeni kama vile Walmalt kufanya biashara nchini mle. Wananchi wamechukizwa na hatua hii kiasi cha kuingia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Gazeti la mwananchi toleo la tar 20/9/2012 ukurasa wake wa mbele limetoa picha ya wanafunzi wa shule ya msingi Mwere manispaa ya Morogoro wakiweweseka kujibu mtihani wa taifa hisabati wa kumaliza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anafanya kazi benki ya NBC tafadhali naomba uwasiliane nami kupitia PM. Nina shida/jambo la muhimu sana ambalo nataka nijue wapi pa kuanzia. Natanguliza shukurani zangu.
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Kama kawaida wale vijana wenzangu wa zamani mida hii ya saa 4 usiku fungulia Radio Free tujikumbushe enzi zileeeee za mabugaloo laizon na magauni ya max
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Utafiti niliofanya kama mtaalamu wa saikolojia nimebaini sababu kadhaa za watu kuwa mafisadi au kujilimbikizia mali, mojawapo ya sababu kuu ni KUTOJIAMINI (low self-esteem). Mtu asiyejiamini pia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJF, Kabla ya kusoma na kuielewa hii thread inafaa kwanza kupata muda kuipitia ile thread iliyoko hapa: www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/322444-vodacom-tz-kwafukuta.html...
9 Reactions
75 Replies
10K Views
Nimesikitishwa sana na taarifa za zaidi ya wanafunzi 4000 kukosa mikopo kwa ajili ya kugharamia elimu yao ya juu.Nii wazi kuwa watoto wa maskini wa nchii hii(umasikini ambao msingi wake ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanesco kanda ya kinondon inatekeleza mladi wa umeme Bunju katika viwanja vipya vya mladi. Lakini kinachoendelea huko ni sinema tupu. Magari yakija na nguzo kumi yanarudi na tano, haifahamiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kanali mstahafu wa jwtz,anaumwa sana,je jeshi laweza kutoa msaada wa matibabu?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida watanzania tunatatizo la kuharibu mazingira hasa misitu, imekuwa ni janga la kitaifa kwa wananchi wa vijiji mbalimbali nchini kukata miti na kuharibu misitu kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesikia CHADEMA ina TV kupitia mtandao wakati wakiendelea na process za kupata TV kupitia masafa. Any link? Au ni hii? CHADEMA TV NETWORK on USTREAM: This is the NEWS AND EVENTS channel network...
2 Reactions
53 Replies
9K Views
taharifa nilizopata kutoka mjini kemondo,kagera watu wawili wakamatwa wakiwa katika harakati za kuchuna ngozi watoto,raia wawasha moto,polisi waingilia kati,washambuliwa,kwa habari nilizopata sasa...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Matapeli wanajuwa kubahatisha, hii nimeikuta kwenye in box yangu: Hi Hi My name is Juliet i am new in this site i saw your profile photo today and admire it i will...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wamwambia hawako tayari kumwakilisha kwenye shauri ambalo halina ushahidi wa kutosha. Ni katika kesi yake aliyofunguliwa na CHADEMA.Mawakili wamemshauri aombe samahani kwa CHADEMA. Ni hivi...
9 Reactions
73 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…