kodi ya mapato | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kodi ya mapato

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gurumeti, Sep 21, 2012.

 1. g

  gurumeti Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama serikali/TRA inawatambua na kuwaorodhesha makampuni yanayolipa kodi kubwa, kwanini isiwataje pia wafanyakazi wanaolipa kodikubwa? kwa sababu naamini mfanyakazi ndiye mlipa kodi mwaminifu kuliko kampuni au mtu yoyote yule.
   
Loading...