Wizara ya afya acheni ukiritimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya afya acheni ukiritimba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rosena, Sep 20, 2012.

 1. R

  Rosena Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni ajabu sana, hivi kustaafu maana yake nini. Ukifika wakati wa kusahihisha mitihani toka kwenye vyuo vya uuguzi, basi utakuta Wizara ya afya kitengo cha mafunzo ya uuguzi wanawaita wastaafu kibao kwenda kusahihisha mitihani hiyo ili wapate pesa. Hivi mmesikia kwamba wale waalimu walio vyuoni wanao fundisha wanafunzi hao wao hawataki hizo pesa? Acheni kufanya kazi kwa kunufaishana. Mnawavunja mioyo wanaomenyeka na kazi hizo halafu ninyi mnadaka pesa tu.
   
 2. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hahaha ..pole sana mkuu Rosena.. ndio kujuana kwa sasa, BTW wizara ya Afya itakuwa ikitembelea tena hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH)..hii ni takribani mara ya tatu ndani ya mwezi mmoja...KULIKONI?
   
Loading...