Ni maadili yamemomonyoka ama ni watu wamechoka?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni maadili yamemomonyoka ama ni watu wamechoka?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilli, Sep 22, 2012.

 1. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Jana nikiwa naangalia taarifa ya habari, hospitalini Mwananyamala niliona habari iliyoonesha watu wakiwa wamebeba jeneza huku wakirukaruka wakiimba 'Tunataka maiti wetu x2'. Watu hao walikua wanalalamika kwamba walikuja kufuata mwili wa ndugu yao lakini hawajaupata na haujulikani ulipo.
  Leo tena nikiwa naangalia taarifa ya habari niliona huko Morogoro wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi na wale wa Chadema wakigombea kuzika mwili wa mtoto. Tena bila hata ya aibu wanagombana kabisa.
  Baada ya hapo nilipata maswali kichwani kwangu.
  Hivi ile heshima tuliyokua tunayo kwa ndugu zetu wanaotangulia mbele ya haki (marehemu) iko wapi siku hizi?
  Yako wapi maadili yetu?
  Je, ni kweli kwamba jamii yetu imeoza ama ni kuchoka na maisha?
  Awali ilikua mtu akitangulia mbele ya haki, tunamheshim, tunamsitiri kwa heshima zote na tunamuombea pumziko la kheri na kuwafariji wafiwa.
  Yako wapi maadili ya zamani?!
   
 2. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu unakaribishwa kwenye mfumo islam, hapa mwenye nguvu ndo mwenye haki
   
 3. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mfumo Islam? Kumbe ndio ulivyo eeeeh? Eti eeeh?
   
Loading...