Umeme wawa Janga la Maendeleo kwa Wananchi wa Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wawa Janga la Maendeleo kwa Wananchi wa Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ufipa-Kinondoni, Sep 22, 2012.

 1. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,468
  Likes Received: 2,137
  Trophy Points: 280
  Imekuwa kama kawaida, TANESCO wanakata umeme saa 4. asubuhi na kurudi saa 1 au 2 usiku. Hii ni kero hasa ukichukulia jinsi umeme ulivyo muhimu kwa mji kama Arusha.

  Nilisikia majuzi 2 wizara ya nishati wakikanusha kuwepo kwa mgao wa umeme katika mji mbalimbali hapa Tz.

  Je hii ni haki wizara kudanganya umma?
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Huku usa river ndo usiseme umeme tunauona masaa mawili tu, haya masaa 22 hatujui umeme unakuwa wapi
   
 3. Bee hive

  Bee hive Senior Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Wahusika tunaomba muweke wazi kwenye vyombo vya habari, kama kuna mgao toeni ratiba tujipange, kuliko kutufanya tuishi maisha ya kuvizia. Inakera sana!
   
Loading...