Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuuu anglieni uzuri hii Picha.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bagwell, Sep 22, 2012.

 1. b

  bagwell Senior Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kutokana na picha hii...Je kwa kiongozi gani ndani ya Tanzania ataekubali kunyooshewa kidole?......
   

  Attached Files:

 2. msweken

  msweken Senior Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  unajua walichokua wakiongea?? vp kama alimnyooshea kidole akimwambia " wewe ni Rais bora kabisa kupata kutokea" picha ni namna unavoitafsiri.
   
 3. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,357
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Alikuwa anamwambia,wewe ni rais pekee uliyeweza kumuu osama'
   
 4. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ukimfanyia hivyo, mzee wa saigon-JK, kwa hakika atakupoteza kama alivyompoteza babu seya...
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,098
  Likes Received: 4,194
  Trophy Points: 280
  Tatizo lipo wapi hapo si wanaongea ni tabia za watu wakiongea wanaonesha ishara za mikono au vidole.
   
 6. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,556
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Kidole kinaonyesha msisitizo wa maneno aliyokuwa anasema. Ingekuwa kamuonyesha kidole cha kati kwa kwenda juu na vingine vimekunjwa (kama yule naibu wetu alivyoonyeshwa!!) tungesema mengine!!!
   
 7. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 11,988
  Likes Received: 7,341
  Trophy Points: 280
  baba mwanahasha anaweza kuruhusu kunyooshwa kidole.......
   
 8. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,099
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  atakusahau jinsi alivyomsahau yule aliyekutwa na simu gerezani akiongea na mtu wake yule wa ge*******ta
   
Loading...