Je hii ni haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii ni haki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sterling, Sep 22, 2012.

 1. sterling

  sterling Senior Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Niko ninaangalia taarifa ya habari ITV..... hivi ni haki kuwachomea wananchi makazi yao hata kama wamejenga katika mahali pasiporuhusiwa? serikali ilikuwa wapi wakati wananchi hao wa GEITA walipoanza kujenga wasiwazuie? Ipo wapi haki ya mtanzania mnyonge?
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Wewe unadhani serikali haina haki?, kuwa mwananchi anamua kujenga mahali popote?!، hata jikoni?!
   
Loading...