Msaada mwenye kujua namba hii +35542500040

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
49,003
54,272
Wakuu nimepokea ujumbe toka namba tajwa hapo ingawa nimeshindwa kuelewa unakusudia nini na nchi gani unatoka.Nanukuu What is your name?Stop sms go www.qa.ee.
 
Shukrani wote kwa ufafanuzi mzuri ujumbe nilipata toka line yangu ya vodacom Hii mitandao inashirikiana na wajanjajanja kutaka kututaperi.Tcra kimya ni porojo tu hawana msaada wowote.
 
Back
Top Bottom