Kuwa na line nyingi tena mtandao mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuwa na line nyingi tena mtandao mmoja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sunshow, Sep 22, 2012.

 1. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kuna jamaa yangu kila mtandao ana line zaidi ya tatu na zote zimesajiliwa kwa jina lake. Mara anakupigia kutumia line hii wakati mwingine line nyingine ukiuliza wewe ni nani mara utasikia kwani huna namba yangu? Hivi kweli nitatunza kwenye simu yangu zaidi ya namba kumi za mtu mmoja? Watu wa aina hii wanakuwa na nia gani?
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Atakuwa mhalifu.
   
 3. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hata mimi nina wasi wasi nae na akiweka laini moja kwenye simu laini nyingine huwa hazipatikani.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,200
  Trophy Points: 280
  Kuna moja ya nyumbani, nyingine ya nyumba ndogo, nyingine ya ofisini :)
   
Loading...