Mauaji ya mwangosi, wanaendelea kutusikiliza... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya mwangosi, wanaendelea kutusikiliza...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by baajun, Sep 22, 2012.

 1. b

  baajun JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HAWA WAMEANZA KUTUSIKILIZA, NA BADO TUNAMIPANGO KABAMBE YA KUIJURISHA DUNIA

  http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=46080


  United Nations News Centre - UNESCO chief denounces killing of Tanzanian journalist

  NENDA CNN iReport KUKOMENT, KUSHARE NA RECOMEND HII HABARI YA MWANGOSIPetition Goverment of Tanzania - CNN iReport

  MWISHO NENDA UWEKE SAHIHI (REGISTER) KWENYE PETITION

  Petition | Government of Tanzania: Stop police violence against peaceful demonstrators and journalists | Change.org


  KUNAMIPANGO KABAMBE KASBISA YA KUIJURISHA DUNIA MAUAJI YA KIKATILI TANZANIA. SAHIHI YAKO NI MUHIMU. TAFADHARI FUATA LINK HAPO JUU KASIGN (REGISTER)
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Liwalo na liwe:shetani:
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,590
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hakuna kitu ambacho dunia haijui, ila the fact ni kwamba dui haijali vitu just because they are necessary, there should be something more attached to that neccesity. Dunia ingekuwa inajali ingeanza na Burma...
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nasikia wakubwa wanataka ipotezea iyo issue bse wako na investment zao uku Tz wanajifanya kama hawajui kilichotokea
   
 5. C

  Concrete JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Safiiiii safi sanaaaaa!!
  Huu ndio uzalendo tunaoutaka, tumeshoka kupigwa, kuteswa na kuuwawa na serikali yetu.

  Dawa yake ni kutumia nafasi na akili zetu tulizonazo kupambana na udhalimu huu wa watawala.

  Hakuna haja tena ya kukaa kimya na kulalamika chini kwa chini, kuanzia sasa ni kuchukua hatua zinazoeleweka tu.
   
 6. C

  Concrete JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Watawala wa Tanzania ni waoga na wanafiki sana.

  Dawa ya waoga siku zote ni kuwatisha tu na dawa ya wanafiki siku zote ni kuwaumbua hadharani.

  Hiki kitu cha kiharakati kinachofanyika sasa mtu unaweza ukakiona kama jambo dogo lakini impact yake dhidi ya watawala ni kubwa sana.
   
 7. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Dunia ingekuwa haijali kesi ya radar isingeibuliwa ili turudishiwe pesa yetu
   
 8. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 761
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Big up chief I guess this is the best approach to find against these criminals. Let's unite and do whatever we can to stop.

  Congratulations Dawa Kuchanachana tu hahaha I like your ID hahaha...!!!
   
 9. b

  baajun JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa ndugu zangu. Nitahakikisha hii issue inafika UN week ijayo na baada ya hapo naipeleka state department nitamfikishia Suzane Rice personal (American diplomat, former think-tank fellow, and civil servant. She is United States Ambassador to the United Nations). Hapa ninavyo ongea nisha mTwitte kama mara mbili. Next step ni ku walk in ofisini kwake. Barua ya petition inaandaliwa kuambatanishwa na hizo SAHIHI. Tujitahidi tupate SAHIHI nyingi. Kama huja sign please! Fanya hivyo.
   
Loading...