Siku 40 alizotuhaidi Ulimboka zimetimia, nini kitajiri?

Mpunumpunyenye

Senior Member
Dec 7, 2011
114
50
Tarehe 12 ya mwezi wa nane kama mnakumbuka majira ya mchana ndugu Ulimboka alipokelewa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Nyerere na kutuhaidi ataongea kila kitu kuhusu yaliyomkuta na kuweka hadharani watekaji wake na sababu walizopelekea kumteka bada ya siku 40 kwa maana kuanzia siku hiyo, sasa kwa hesbu za kawaida leo ndio zimetimia.

TUNAKUSUBIRI BWANA ULIMBOKA.
 
Ulikuwa wapi jana?? ulikunywa ngapi? kapige mswaki,oga,kapate supu afu urudi usome ulichoanzisha!
 
Mkuu unataka arudie Mara ngapi? Kuna video yake ameeleza yote kabla ya kwenda kutibiwa sasa unataka aikanushe?
 
Dr Uli ni nomaaaa kapiga kimya chezea mabwepande wewe hawezi kuja tena hewani miaka 800.
 
ashazimwa huyo.hapo anasubiri post yake 2 ya sehemu atakayo pewa kula kilaini ka braza yake mwakyembe.
 
Mkuu unataka arudie Mara ngapi? Kuna video yake ameeleza yote kabla ya kwenda kutibiwa sasa unataka aikanushe?
Precise pangolin una nini na huyu bwana (Dk Ulimboka)? kwa sababu wewe kila siku unakataa ulimboka asije kusema yale yaliyomsibu,au wewe ndio Ulimboka mwenyewe?kama sio wewe ulifurahia ulimboka alivyofanywa?acha unafiki wako mwache ulimboka afunguke bwana na wewe usimsemee mtu!
 
Ashadakishwa zake, katulia tuli!!!
Naanza kumuamini Zomba kua labda kule leaders usiku ule alifuata mlungula.

Nilikua nam-support hapo kabla, but tabia aliyoionyesha baada ya kurudi imenifanya nishuke kwenye boti yake, sio tena abiria wake!!
 
Akishasema/akirudia kusema ndio itakuwaje.
Tunapenda sana kusikiliza na kutikisa vichwa bila kuchukua hatua.
Angekufa baada kuzungumza yale na kusoma yalioandikwa na "Mwanahalisi" tungefanyaje!?
 
always wanyaki wanaprove failure!
1.Mwandosya hakusemakitu.
2.Mwakenye naye hakusema kitu.
3.Ulimboka naye after 40 days? Atasemakitu?
 
Back
Top Bottom