Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jumanne, Septemba 25, 2012 06:45 Na Benjamin Masese, Dar es Salaam SAKATA la mwili wa marehemu Ntimaruki Khenzidyo (23), uliodaiwa kuibwa Hospitali ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Pamela Kalala amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mke wa mmoja wa washtakiwa aliokuwa akisikiliza kesi yao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari kutoka redio one zinasema Naibu waziri wa Elimu amsimamisha kazi mkuu wa shule kutokana na tuhuma alizopewa na wanafunzi wake.
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Maiti itasafirishwa kutoka Tanga hadi Mwananyamala Dar *Mahakama kutoa kibali maalum, Jeshi la Polisi kusimamia HATIMAYE mwili wa marehemu Ntimaruki Khenzidyo (23) uliodaiwa kuibwa katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani, is it me only au kuna wengine wenye complains kama zangu Naona mitandao ya simu wananihujumu sana,coz nikieka credit and make few calls my balance run out within no time Jamaa wanatunyonya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
TAMKO LA WADAU (WANACHAMA WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII) WA MIGODI NA SEKTA BINAFSI KUHUSU SHERIA No 5 YA HIFADHI YA JAMII KAMA ILVYOFANYIWA MAREKEBISHO MWEZI APRIL 2012 Hili ni tamko...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Waalimu wa kenya wamekuwa kwenye mgomo kwa muda wa wiki tatu sasa. Na serkali ya kenya imekubali kuwaongezea mishahara yao. katika mgomo huu sijasikia serikali hiyo kuuzuia mahakamani wala watu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF, kama kuna mtu ambaye anajua shirika la ndege au website naweza kupata air ticket kwa bei nafuu ya kwenda na kurudi napendelea Kilimanjaro airport port au Jomo Kenyatta airport Nairobi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Takriban wapiganaji 35 wa kundi la kiisilamu la Boko Haram, wameuawa katika msako mkali dhidi ya kundi hilo Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Kwa mujibu wa jeshi la Nigeria, wapiganaji wengine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya Kifo cha Mwandishi Daudi Mwangosi wa Iringa, Yaliibuka Mambo Mengi, Likiwemo la Baadhi ya waandishi wahabari kutafutwa na Jeshi la Polisi wauliwe. Mmoja ya wanahabari waliokua katika Red...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni hapo juzi juzi tu tumetoka kumzika traffic police mmoja maeneo ya dumila morogoro.Sababu ya kifo chake ni ajali ya pikipiki kugongana.Huyu polisi alikuwa akiendesha pikipiki isiyokuwa na taa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kipindi kirefu sasa kumekua na kashfa mbalimbali ambazo zimelikumba Baraza la Mitihani la Tanzania. Kupitia vyombo vya habari tumesoma taarifa ya wizi/upotevu wav yeti na hata results slip...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Inafurahisha kuona mshikamano wa viongozi wetu wa juu CCM. Hongera Mwenyekiti Jk. Bado CCM ni kinara kwa oganaizesheni na uhamasishaji kwa kufanya mambo kwa mipango madhubuti, bila kuleta...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna kituo kipya cha radio kimefunguliwa na kipo ktk majaribio? Ningependa kujua mmiliki wake. Mwenye info update mi Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Athari za ustaarabisho zinailinda mbegu ya ukoloni nchini na barani Afrika, inatuzuia kujirudishia taifa letu, uraia wetu na uzalendo wetu. Kisa hatuna elimu ye uzalendo nchini/barani Afrika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna siku niliosikia kizungu zungu nikiendesha gari ni jana ....kwa waliosikia kipindi cha clouds fm jahazi amtowiwa kuamini hii serikali yetu ni ya wauwaji watupu...sipendi kumumunya mdomo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilala: Hakimu apandishwa kizimbani kujibu tuhuma za kumwomba mteja rushwa 25/09/2012 0 Comments Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala Pamela Kalala (kushoto),akitoka katika mahakama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hebu angalia Wabongo walivyo Wahuni/Mbumbumbu! Aibu Kutojua LUGHA Standard Passed & Date: IV 2008 Name of School: Salama Sec School. Course Taken: TRAINING FOLONTIER MLITARY Kughushi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa mwezi huu kuna jamaa alitoka kwenye mizunguko yake ya maisha (anakaa majohe kwa mkolemba) alipofika pale kwa mkolemba alikodi piki piki na yule dereva wa piki piki alimbeba na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nchi yetu imeingia kwenye kitabu cha orodha ya maajabu baada ya wanafunzi wa Darasa la saba kufanya mtihani wa Hesabu wenye majibu ya kuchagua......a..b..c..d nakumbuka nilipokuwa nasoma...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…