Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwa nikobored pindi nisomapo gazeti na kukuta maneno haya mtuhumiwa huyo...(jina tumelihifadhi) ambaye anamiliki kampuni iitwayo..(jina tumelihifadha) then baada ya majuma kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unajua sio lazima utukunwe mshenzi ujue kumbe sio mshenzi tu na kichwani umejaa upumbavu embu watanzania tujiulize leo tumetangaziwa tume ya mwangosi najiuliza tume ya jairo imeishia wapi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, natoa wito kwa wanatunduru wote mahali mlipo twende tunduru tukaiokoe Tunduru na kuirudishia heshima yake؛‎ Tazama matukio haya yatokeapo wenzetu wanapopatwa na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
An upbeat African reality TV show grabs a rare but well induced backups from an International Development Organisation - Oxfam, and Tanzanian leading banking firm NMB!Whatch out and see our...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Fumanizi hilo lilibuliwa na gazeti hili, Septemba 18, mwaka huu ambapo Judith Lekule na mume wa mwanamke aliyetambuliwa kwa jina moja la Pendo walinaswa chumbani wakiivunja amri ya sita ya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Leo nipo Tunduma nimekuta vijana na wazee madereva wanavyo lalamika kuhusu hii kampuni, wanasema inawapiga bao na kuwafanyia fitina kubwa sana. Jamaa mmoja ambaye amenipa mpaka lift anasema dogo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukweli kwamba sasa wachina wamefikia pabaya hadi kufanya soko kuu kariakoo kuwa dampo la vitu feki la bidhaa vya kichina. Haya yameziilika siku za karibuni, baada ya kuona maroli mengi ya HOME...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
MTUHUMIWA Mkuu wa kashfa kubwa iliyowahi kuitingisha nchi na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kusafirisha wanyama hai wapatao 130 nje ya nchi, Kamran Ahmed (30), anashikiliwa na Polisi mkoani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tayari alishafikishwa mahakamani asubuhi hii. Leo katumia gari namba DFP. source: Francis Godwini
0 Reactions
13 Replies
3K Views
MWALIMU wa Shule ya Msingi Magamba, wilayani Handeni, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela, baada ya kupatikana na hatia ya kufanya mapenzi na kumpa mimba mwanafunzi. Mwalimu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
takeholders in the marine transport sector have called on the government to review the Marine Act 2003, which allows up to 15-year-old vessels, particularly passenger ships, to be brought into the...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Kuna watu watanishangaa sana kwanini nimeweka hii Thready lakini ujumbe umefika! na kama kuna ambaye amechukia basi achukie!
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Nizar Visram WIKI iliyopita tulizungumzia maandamano dhidi ya Marekani yalivyoenea kote duniani, kufuatia video iliyoandaliwa Marekani ikishambulia Uislamu. Baada ya hapo maandamano yamezidi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Sabau za kujivunia kuwa mtanzania au kutokuwa mtanzania ni zipi? Kisiasa /kidemokrasia Tuko wapi? Kiuchumi? michezo matumizi ya rasilimali zetu Kielimu Je hivi vitakufanya ujivunie kuwa mtanzania...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Majibu ya interview alofanyiwa na kipindi cha wanawake live cha EATV. Aliulizwa yeye ni mke wa mtu mwenye nafasi kubwa katika jamii (kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ndugu Aikael...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Ukweli sina maneno laini yanayofaa kutumika kueleza hisia zangu dhidi ya shirika hili la umma! Ni lini yamepita japo masaa 12 mfululizo bila umeme kukatika? Sikumbuki. Leo tu wamekata na kuwasha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Somebody send me an email that lists charateristics of developing countries, and I found that it resonates what is happening in our country. Enjoy: Riding a Dead Horse Dakota Native American...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Katika kuendeleza utamaduni wetu wa uvumilivu wa kisiasa na kuheshimu mawazo tofauti, kulinda haki ya kutoa maoni na kusimamia misingi ya kupingana bila kupigana. Chama chetu kinasikitishwa mno na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari nilizozipata ni kwamba baadhi ya wamachinga wamevamia eneo la wazi lililopo Kilombero sokoni. Wameondoa bati zilizokuwa zimezungushwa na "mmiliki" ambaye aliuziwa eneo hilo kifisadi na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Greek woman dies after thieves drag her on road Monday, 24 September 2012 Dar es Salaam. A Greek woman has died in the course of preventing her handbag from being snatched by unidentified...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…