Tume ya jairo imeishia wapiii????

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Unajua sio lazima utukunwe mshenzi ujue kumbe sio mshenzi tu na kichwani umejaa upumbavu
embu watanzania tujiulize leo tumetangaziwa tume ya mwangosi najiuliza tume ya jairo imeishia
wapi jamani?????????nani anaunda hizi tume nani analipa hizi tume na pesa za wapi zinatumika kwa ajili ya upuuzi kama huu wa jairo na mwisho akuna matokeo ya tume yaliotolewa hadharani

bado najiuliza ewe nchimbi hon hizi tume ulizounda nani amekupa hela ya kwenda kupoteza muda kwa ajili ya mambo ya kishenzi nini mmekwenda kuchunguza wakati umeshapeleka mmuwaji mahakamani??
Nani zaidi unamtafuta na kama unatafuta sifa ili iwe nini??kwa nini hizo pesa za tume msipeleke
kwa mjane wa mwangosi na kutunza wattoto zake wamalize elimu ya juu???

Hizi stupid tume zinaisha lini jamani ???
 
Tume kazi yake ni kula fedha za wananchi. Hazina maana yoyote kwani hakuna tume zilizowahi kurudisha majibu yakafanyiwa kazi na viongozi wetu. Wanapotaka kupotezea jambo wao huunda huyu mdudu anayeitwa tume kwani wanajua watanzania ni wajinga na kwa sababu ya huo ujinga wao hawatakawia kusahau hivyo tume ikishaundwa tu basi, mchezo umeisha! Atasubiriwa mtu apate transfer au astaafu kwa mujibu wa sheria kisha unaambiwa hakuna sababu ya kuchukua hatua kwani mhusika ameshastaafu
 
Back
Top Bottom