Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanafunzi wanne wa chuo kikuu cha Port Hacourt (UNIPORT) kilichoko nchini Nigeria, wameuawa kinyama kwa kuchomwa moto wakiwa hai, habari zaidi angalia video hii: www.youtube.com/watch?v=PCU7WwV3zOE
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za hivi punde ni kuwa Baadhi ya wajanja wa Mambo ya ICT katika benki ya NMB Bukoba wameiba sh milioni zaidi ya 60.Kwa sasa benki imwefungwa wakijaribu kuona kama wanawweza kupata fedfha...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Texas Heart Children’s Hospital Yaisaidia Vifaa Vya Tiba Ya Moyo Ya Dr.Ferdinad Masau Heart Institute LEE EVEY MTAALAMU WA MAGONJWA...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
WanaJF wenzangu kati ya chaneli ninazozipenda kuziangali ni STAR TV na ITV na sehemu waliyoifanya vizuri hadi nimewakubali ITV ambayo STAR TV wanatakiwa na wao waige ni kuunganisha vipindi kama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Japo sitegemei chochote lakini napenda kujua kama wameanika hadharani kilichosemwa na wajumbe
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WANA-JF; Naomba kujua kuhusu mtaji (capital) unaohitajiwa na contractors Registration Board (CRB) ili kuweza kusajili kampuni ya ujenzi kwenye madaraja yake tofauti tofauti. Nimejaribu kutafuta...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Raisi wangu mpendwa nakutakia kila laheri katika siku hii ya leo.i wishing you a long life but short life in your administration
0 Reactions
135 Replies
13K Views
Tusiingize siasa kwenye hali ya hewa. Ni vema kuchukua tahadhari kabla ya shari na kujifunza kujiandaa na majanga. Kupuuzia utabiri kumewaponza wengi katika nchi mbalimbali. Siombei mabaya, ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa risasi zilizofyatuliwa huko Mbeya zimelenga nini?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Basi hili limepata ajali leo asubuhi baada tu ya kutoka mji wa kahama kuelekea Bk inasemekana kuna watu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya , basi hili liligonga, mwenye ndugu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UDA imenunua mabasi mapya 30 yenye uwezo wa kubeba abiria 40 kila basi. Hii ni mara ya kwanza UDA, ambayo sasa ni kampuni binafsi, kununua mabasi mengi kwa wakati mmoja tokea ilipoanzishwa miaka...
6 Reactions
71 Replies
8K Views
Witchcraft and witch-hunts in England and Tanzania Leave a reply “Trial of Witches, 1612″, by Fred Kirk Shaw in 1913. In the year 1612, in the northern...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Monday, 08 October 2012 10:05 By Zephania Ubwani, The Citizen Bureau Chief Arusha. Tanzania will be among the oil producers in the world in the future following recent discoveries of huge...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Taarifa nilizozipata kutoka Bukoba ni kwamba,watu wanane wamekamatwa wakiwa nje ya kanisa katoliki mjini Bukoba wakiwa na vifaa ambavyo uchunguzi wa awali ulionesha kuwa ni vya mlipuko.Katika...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
leo nimekuwa hapo jk air pot kq air ways wamechelewa zaidi ya masaa mawili ninejifnza mengi sana,mda wote tumesimama hakuna cha mngonjwa wala mzima mabechi hamna pale wamehozi matax draiver,hivi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikiliza wimbo wa taifa mara kwa mara, lakini nashibndwa kupata mantiki ya baraka tunazoimba kwani Mungu ashamaliza kazi yuake ya kuibariki Tanzania, sema sisi wenyewe na viongozi...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Hatimaye mvua zilizokuwa zimetabiriwa na mamalalaka ya hali ya hewa kuwa zinatenyesha ukanda wa pwani zimeaanza kunyesha hapa dar baadhi ya maeneo kunanyesha mvua kubwa. Wale waliokuwa wanaponda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ole wenu TMA this time pia mtudanganye na bla bla zenu. Ole wako Mama Kijazi kama utakuwa muongo.
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Taarifa imetolewa kuwepo kwa mvua kubwa katika siku moja au mbili zijazo.... sikatai taarifa hii lakini ni Utabiri au uhakika? amini usiamini kunasiku hawa jamaa huwa wana copy & ku paste...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jana nilikuwa naangalia matukio katika kijiji cha Mama Shujaa wa Chakula pale Maisha Plus, kwa maana ya matukio yaliyojiri siku ya J'2. Nikaona ya kwamba ilikuwa ni siku ya Ibada kwa Wakristo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…