wakuu kuna hii ishu ya RFID ambapo Bunge au Seneti ya Marekani imepitisha mswada wa afya wa Obama kuwa sheria na utaanza kutumika tarehe 13/03/2013. Mswada huu utawataka Waamerika wote...
Mpaka kufikia mwaka 2012 rais huyo wa Marekani alikuwa na utajiri wa Dola za Marekani Milioni 11.8. Sawa na zaidi ya Bilioni 17 za Kitanzania
Vyanzo ya Mapato hayo ni kupitia Vitabu na Siasa...
Jumapili iliyopita mjomba wa rafiki yake alikuwa kwenye daladala akitokea ubungo kwenda tegeta, basi lilipofika mwenge abiria waliongezeka na wengine wakawa wamesimama,kati ya waliosimama...
Jamani naomba mnisaidie kupata uelewa wa jambo hili.
Kwa siku za karibuni nimekuwa nikishuhudia askari polisi wengi wakimiliki magari ya bei mbaya na si hivyo tu bali wamekuwa wakiyatumia kazini...
Nipo njiani naelekea Moshi na nilipofika hapa eneo la Katiti kwa wale wanaojua hii njia vizuri,kwa mbele kidogo kuna daraja na ndipo nikakuta gari tajwa hapo juu likiwa lipata ajali ya basit...
KIWANDA cha Tanzania Pharmaceutical Indusrties Ltd (TPI), kimekanusha kuhusika na usambazaji, uzalishaji wa dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARVs).Kiwanda hicho...
Yahya Mohamed, wewe ni memba hapa JF naomba unipe jibu:
Hivi ni kweli Waandishi wa habari waache kumwandika DR Ulimboka kwa sababu wanampa kichwa na wananchi wamechoka habari zake?
Je, ni kweli...
Jana kwenye Jahazi, Kulikua na mjadala kati ya Arnold Kayanda na bwana Kibonde.
Hoja ilikua moja, Rais mstaafu Ally H Mwinyi alikua na kesi mahakani, waandishi wakaenda, kama kawaida yao, kupata...
Wachina wanazidikushika kasi hapa nchini, wengine wakiwa na sifa za kufanya kazi hapa nchiniwengine hawana kabisa, ninavosema hawana ni hawana uwezo sababu nimefanya naokazi.
Sio wachinatu hata...
Kwanza ningependa kutoa shukrani zangu za dhati kwa mungu wangu ambaye naamini amekuwa ndio mlinzi na kiongozi wa kila nyayo ninayotaraji kuikanyaga na kunifanya niweze kuifurahia dunia kwa miaka...
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS;
Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions
Lengo kuu nikusaidia Wajasiriamali na Wafanyabiashara kuweza kujua Wateja wao na Wateja kujua bidhaa...
Serikali kupitia MSD wamesimamisha usambazaji wa dawa zote zilizo katika maghala ya TPI na MSD ambazo zimetegenezwa na TPI
Akiongelea sakata hilo Waziri mwinyi alisema Tumeona tuchukue hatua...
Heshima kwenu wadau,
Naomba msaada wa gharama za premium health insurance per year zinarange vipi,,, I mean ile package ambayo ukiweka kwa mtu anakuwa na uhakika wa kusafirishwa hata india au...
Ndugu wana JF, mada hii naiweka hapa kwenye jukwaa la siasa licha ya kuwa mhusika wa mineno mikali ni mwana burudani mzuri. Mwimbaji nguli mwenye tamathali za semi, mwenye kauli kali zenye...
Habari za majukumu waungwana, natumai Mungu anatujaalia hali njema na afya za uhakika mpaka tunapata fursa za kupita huku jukwaani na kuweka hisia zetu.
Ni muda mrefu nimekuwa nikiamini ya kwamba...
‘The planet is too crowded – let's kill the right people'
Paul Joseph Watson
During a recent appearancece on the StarTalk Radio Show, Real Time host Bill Maher expressed his desire...