Mshahara wa Obama ni Milioni 624 za Kitanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara wa Obama ni Milioni 624 za Kitanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DOOKY, Oct 12, 2012.

 1. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mpaka kufikia mwaka 2012 rais huyo wa Marekani alikuwa na utajiri wa Dola za Marekani Milioni 11.8. Sawa na zaidi ya Bilioni 17 za Kitanzania

  Vyanzo ya Mapato hayo ni kupitia Vitabu na Siasa.

  Mshahara ni dola 400,000 kwa mwaka sawa na Milioni 624 za Kitanzania

  Obama ni Rais wa 44 wa Marekani, Mtunzi wa Vitabu na Mtu maarufu zaidi duniani.

  Alipokea fedha ya Nishani ya Nobel dola Milioni 1.4 na kuzikabidhi kwenye shughuli za kijamii.

  marais wetu wa Afrika mbona wanaficha?

  UKITAKA KUTAMBUA UTAJIRI WA OBAMA BILIONI 17 NA DONDOO NYINGINEZO BOFYA HAPA.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Na mkw.ere analipwa sh. Ngapi?
   
 3. s

  sugar ray Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kweli raisi wa marekani hawez kulipwa pesa kidogo hivi
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Slaa ana mzidi per diem yake ukijumlisha inafika 750000 tofauti na mshahara kwanini asivute totoz
   
 5. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  yule ni USD na slaa ni madafu wapi na wapi?
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  watakwambia hana mshahara ni posho tu. Dola laki kadhaa kwa mwezi, chezea bongo wewe
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Atakuwa anamzidi Obama tu biliv dat unhuuh!!
   
 8. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mbona mshahara wake ni kidogo kama wachezaji wa Arsenal.
   
 9. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hiyo ni take home, umeshakatwa kodi,
  Gharama nyingine zote za maisha ni juu ya White House..!
  Wako wazi mpaka bhassssssssssi.
   
 10. i

  ilonga JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 823
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Hata walimu south africa wanalipwa zaidi ya wale wa USA,so usishangae kuona mshahara wake "mdogo"
   
 11. Cear

  Cear Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  We acha namini 6o% inatokana na uwekezaji wa unyonyaji Afrika!
   
Loading...