Rushwa kibaha maili moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa kibaha maili moja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwitongo, Oct 13, 2012.

 1. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wadau, nchi hii imeoza kabisa. Najiandaa kuandika kitabu chenye picha za upokeaji rushwa unaofanywa na trafiki katika Stendi ya Mabasi Kibaha Maili Moja. Trafiki wanapokea rushwa nje nje kila siku asubuhi. Wanapokea bila aibu. Jamani, nchi hii tunakwenda wapi? Hofu yangu ni kwamba naweza kudhuliwa kabla ya kutoa kitabu hicho.

  Naomba mchango wenu wa mawazo.
   
 2. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,812
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Hiyo kitu Dar hadi moro and beyond. kibaha/ mlandizi/chalinze/mikese/lupilo. I pity Mwema too blind to see.
   
 3. C

  CHUNDABADI Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Unauliza kuhusu Rushwa kwa trafic ebhana m nlishawaona trafic hapa iringa Wanaambiwa na KAMANDA WA MKOA wao kuwa wamwandikie DerevA fain matokeo yake wanachakachua na kuchukua rushwa papo hapo e bhana hii cio mchezo,'RUSHWA TANZANIA MBONA KAWAIDA 2' kuna 'kaka' angu n Dereva wa Lori e bhana kila kituo cha trafic anaacha Jelo na buku haya, magar ucku mzima yanapita mangapi katika highway yaan bac bhana hii nchi kila kona n mawenge
   
Loading...