Kufungiwa MwanaHALISI na kuachwa Radio Imaan...

Status
Not open for further replies.

Wimana

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
2,449
717
Hivi karibuni, Serikali ililifungia gazeti la Mwanahalisi kwa madai ya 'kuhatarisha' usalama wa Taifa. Uamuzi huo wa Serikali kuwafungia Mwanahalisi wawezakuwa na maana kwa maana halisi ya kuhatarisha uslama wa Taifa.

Lakini mwenye akili lazima ajiulize swali hili; Je, ni Mwanahalisi pekee ndilo 'linalohatarisha' usalama wa Taifa?
Hii Radio Imaan ambayo hurusha matangazo ya uchochezi wa dhahiri kwa Waislamu dhidi ya Serikali na Wakristo, hai-hatarishi usalama wa Taifa?

Hivyo vyombo vinavyohusika na kufuatilia na kuthibiti vyombo vya habari ikiwamo Wizara ya Habari na TCRA, ni kweli havijui kinachorushwa na kuhubiriwa na Radio Imaan?

Kama vyombo husika havijui kinachorushwa na kuhubiriwa na Radio Imaan na baadhi ya Magazeti ya kidini basi ni wazi kuwa miaka michache ijayo Tanzania itakuja kuwa na Rais ambae ni mlemavu wa kusikia (kiziwi) na kuona (kipofu), Rais wa aina hiyo, kwa kuwa haoni angetegemea kupata ushauri kutoka kwa Washauri wake, lakini kwa kuwa hasikii basi hilo halitawezekana!
 
Hiyo Redio inapropagate imani ya Mfalme, haina tatizo kwa sasa, watapiga kelele weeeeh lakini usitegemee kwamba watafikia hatua ya kuhatarisha usalama wa Mfalme kweli kweli.
 
Tuambie uchochezi upi waliofanya kama sio kutokwa na povu kwa kuweka ukweli hadharani.Kasikilize redio Maria tuachie redio yetu
 
Nilishawahi kuweka mada hapa siku za nyuma kuwa redio hii ni hatari kwa taifa, na nilisema kwamba Rwanda Radio zilitumika kuchochea mauaji lakini wakubwa wanaifumbia macho. Huwa naisikiliza ili kusikiliza malalamishi yao ya mara kwa mara. Juzi juzi nilisikiliza nikamsikia controversial sheikh Ponda akibwabwaja kuwa anataka kipengele cha dini lazima kiwepo kwenye sensa. Nilijaribu kusikiliza ili nipate mantiki kwa nini wanataka kipengele cha dini kiwepo wakati serkali haifanyi mipango kulingana na dini za watu lakini nilichoambulia ni malalamishi yasiyo na mashiko.

Sasa hivi wanafanya kampeni ili waislamu wakatae kuhesabiwa, madhara yake serikali inaweza kukosa takwimu sahihi za watu wake consequently tunaweza kuwa tunaandaa mipango ambayo haina ukweli ndani yake kwa sababu ya watu wajinga kama hawa. Hii ni hatari kwa usalama wa taifa kuliko gazeti ambalo limetwambia ukweli na kwa aibu wanashindwa hata kulipeleka mahakamani. It is high time ingawa tuna serikali dhaifu lakini ni vema ikachukua hatua haraka kuepusha yaliyotokea Rwanda.
 
Serikali ya JK inaiogopa Redio Imaan, aidha baadhi ya wakubwa wana agenda ya siri ya kupandikiza misimamo na mahaba yao ya kiimani kwa wananchi.
Redio hii ni hatari kama ukoma!
 
Hii ndo redio gani??
Nipeni frequency nisikilize, nimekosa cha kufanya jamani.
 
Jana nimeanzisha thread niliita MwanaHalisi au Radio Imaan nani anaeneza habari za uchochezi? mods wakai-delete haraka, nafikiri mods wamekua waoga bila sababu, ile thread haikua inaongea habari ya udini, ilikua very objective, nilieleza kwa mifano mambo yanayoenezwa na radio imaan (which is just another media) yalivyo ya hatari as copmpared to hizo za mwanahalisi.

Ile redio ilibidi iwe imefungwa toka 2011 mwezi wa nne, kwamba hadi leo iko hewani kwangu ni muujiza.

Jumapili shehe ponda issa ponda amewasifia waislam wa mwanza kwa ushirikiano, anadai alivoenda mwanza ilibidi mkutano wake uchelewe kwa sababu waislamu walikua mahakamani, akielezea sababu za hao waislamu kuburuzwa mahakani shehe ponda alisema, wakristo walichoma quaran ikabidi waislam wapelekwe polisi
 
Nilishawahi kuweka mada hapa siku za nyuma kuwa redio hii ni hatari kwa taifa, na nilisema kwamba Rwanda Radio zilitumika kuchochea mauaji lakini wakubwa wanaifumbia macho. Huwa naisikiliza ili kusikiliza malalamishi yao ya mara kwa mara. Juzi juzi nilisikiliza nikamsikia controversial sheikh Ponda akibwabwaja kuwa anataka kipengele cha dini lazima kiwepo kwenye sensa. Nilijaribu kusikiliza ili nipate mantiki kwa nini wanataka kipengele cha dini kiwepo wakati serkali haifanyi mipango kulingana na dini za watu lakini nilichoambulia ni malalamishi yasiyo na mashiko.

Sasa hivi wanafanya kampeni ili waislamu wakatae kuhesabiwa, madhara yake serikali inaweza kukosa takwimu sahihi za watu wake consequently tunaweza kuwa tunaandaa mipango ambayo haina ukweli ndani yake kwa sababu ya watu wajinga kama hawa. Hii ni hatari kwa usalama wa taifa kuliko gazeti ambalo limetwambia ukweli na kwa aibu wanashindwa hata kulipeleka mahakamani. It is high time ingawa tuna serikali dhaifu lakini ni vema ikachukua hatua haraka kuepusha yaliyotokea Rwanda.

Hata kenya magazeti sampuli ya mwanahalisi yalichochea mauaji
 
Ingekuwa Radio Safina ama maria inayoeleza rais muislamu ohh..kateua leo muislamu kuwa katibu..INGESHAFUNGWA.
 
Hivi karibuni, Serikali ililifungia gazeti la Mwanahalisi kwa madai ya 'kuhatarisha' usalama wa Taifa. Uamuzi huo wa Serikali kuwafungia Mwanahalisi wawezakuwa na maana kwa maana halisi ya kuhatarisha uslama wa Taifa.

Lakini mwenye akili lazima ajiulize swali hili; Je, ni Mwanahalisi pekee ndilo 'linalohatarisha' usalama wa Taifa?
Hii Radio Imaan ambayo hurusha matangazo ya uchochezi wa dhahiri kwa Waislamu dhidi ya Serikali na Wakristo, hai-hatarishi usalama wa Taifa?

Hivyo vyombo vinavyohusika na kufuatilia na kuthibiti vyombo vya habari ikiwamo Wizara ya Habari na TCRA, ni kweli havijui kinachorushwa na kuhubiriwa na Radio Imaan?

Kama vyombo husika havijui kinachorushwa na kuhubiriwa na Radio Imaan na baadhi ya Magazeti ya kidini basi ni wazi kuwa miaka michache ijayo Tanzania itakuja kuwa na Rais ambae ni mlemavu wa kusikia (kiziwi) na kuona (kipofu), Rais wa aina hiyo, kwa kuwa haoni angetegemea kupata ushauri kutoka kwa Washauri wake, lakini kwa kuwa hasikii basi hilo halitawezekana!

Wacha ubaguzi wako wa kidini.
 
Jana nimeanzisha thread niliita MwanaHalisi au Radio Imaan nani anaeneza habari za uchochezi? mods wakai-delete haraka, nafikiri mods wamekua waoga bila sababu, ile thread haikua inaongea habari ya udini, ilikua very objective, nilieleza kwa mifano mambo yanayoenezwa na radio imaan (which is just another media) yalivyo ya hatari as copmpared to hizo za mwanahalisi.

Ile redio ilibidi iwe imefungwa toka 2011 mwezi wa nne, kwamba hadi leo iko hewani kwangu ni muujiza.

Jumapili shehe ponda issa ponda amewasifia waislam wa mwanza kwa ushirikiano, anadai alivoenda mwanza ilibidi mkutano wake uchelewe kwa sababu waislamu walikua mahakamani, akielezea sababu za hao waislamu kuburuzwa mahakani shehe ponda alisema, wakristo walichoma quaran ikabidi waislam wapelekwe polisi

Kaifunge wewe
 
Kama ni kweli Ikulu ndo waliohusika kumteka Dr Ulimboka, mlitaka Mwanahalis liandikaje hiyo habar?? Ni Jk ameamua kulifungia tu hilo gazet kwa uzembe wake na TISS yake, ili na yee apumzike kidogo mana lilikuwa linamweka kwenye kona. siamin kama lingehatarisha usalama wa nchi kwa kusema ukwel, ila Jk ndo anaehatarisha usalama huo kwa udhaifu wake.
Radio Iman ndo Radio HATAR kwa sasa mana hawaachi wasikilizaj kutoa mawazo yao huru bal wanaandaa mada na kuichochea vilivyo then wasikilizaj wao wanafuatisha.
 
sikiliza radio iman kila ifikapo saa mbili kamili asubui utaujua uwo uchochezi,acha kukurupuka na kufikiria kwa masaburi.
 
madakitari wakigoma radio iman inasema madr wanatumiwa na CDM na maaskofu ili kumuhujumu rais muislam ashindwe kutawala. Wakigoma walimu visingizio vina kuwa hivyo hivyo, wenyewe wanagomea sensa je? Waslam wanatumiwa na nani kugomea sensa? Au madai yao ni yamsingi sana kuliko ya ma dr. na walimu?
 
mi sioni kama kuna amani hapa tanzania, na pia kufa kwangu ni ibada
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom