katavi mpya na bomoabomoa

elimuplatform

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,054
462
je ubomoaji wa mabanda katika mkoa mpya wa katavi mji mpanda ndyo kipaumbele ktk maendeleo ya mji huwo au?
 
je ubomoaji wa mabanda katika mkoa mpya wa katavi mji mpanda ndyo kipaumbele ktk maendeleo ya mji huwo au?

Kila maendeleo yana athari zake!ila ninachokiona huku watu si wabishi kama wa dar,huku m2 anawekewa alama ya x leo,kesho anaanza kubomoa mwenyewe!ila sehemu nyingine hadi nguvu i2mike,hii nimeipenda.
 
Hakuna mji ulijengwa kwa kubembelezana! Nendeni Marekani muone kama kuna mtu anang'ang'ania kwenye hifadhi ya barabara au eneo la wazi kwa kisingizio cha haki za binadamu. Ujinga huu unapatikana Tanzania tu! Demokrasia ya kuvunja sheria ndo demokrasia gani hii? Shame on u!!!
 
Back
Top Bottom