Ajari mbaya morogoro road karibu na chalinze

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,267
4,715
Kuna magari mawili: lori la mafuta na la mizigo, yamegongana uso kwa uso na yanawaka moto, barabara imefungwa na kuna foleni ndefu pande zote mbili
 
Ingekuwa ni gari la chagonja, shilogile au kamuhanda ningekupa like na glass of wine , Hawa jamaa siwapendi kweli kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom