Salathiel m.
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 185
- 41
Kutokana na simu feki kukoma kutumika nchini kenya,kupelekea wafanya biashara waliokua na mizigo mikubwa ya simu feki sasa wameanza kuja kuziuza nchini TZ. sasa bongo imegeuka dampo ingawa tuna shirika la viwango (tbs) lakini shirika hili halijihusishi na jukumu walilopewa,hii inapelekea kila bidhaa feki hua hapa TZ inauzika bila shida.