Tutapona kweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutapona kweli!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by grndossy, Oct 12, 2012.

 1. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [TABLE]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]Nafikiri hii ni hali iliyo katika sehemu nyingi za miji ya Tanzania. Maji tunayotumia sehemu za mijini hatujui yanakopatikana na kwa neema ya Mungu tunaendelea tu kuishi.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Katika hali ya kawaida katika mazingira haya tunayokula makachumbari, vyakula ambavyo sahani zimeoshwa kwa maji yasiyochemshwa, matunda yaliyosafishwa na maji ya aina hii, maisha yetu ni salama kweli? Je hapa nani wa kulaumiwa; huyu anayechota maji au yule aliyepaswa kuhakikisha huyu kijana anapata maji safi na salama? Kazi kwenu wadau.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hatari hatari.....
   
Loading...