Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari za asubuhi wadau, nimepata taarifa kwamba mwili wa aliyekuwa RPC mkoa wa Mwanza ACP Liberatus Barlow utaagwa katika viwanja vya nyamagana. mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali!
1 Reactions
65 Replies
8K Views
Nimekaa na kuiangalia picha hii kasha nikaanza kutafari juu ya siasa za uhasama hapa kwetu, mwisho nikaanza kucheka peke yangu. Leo wanasiasa wa kibongo wanachukiana kama paka na panya, kwa nini...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mahakama yasema hana hatia, kasota miaka minne
0 Reactions
7 Replies
2K Views
na kibonde ndiye mtangazaji anayependwa kusikilizwa zaidi . Mfano 90% ya wana jf wanasikiliza jahazi na wasikitika wakikikosa hicho kipindi. Source...... research yangu mwenyewe...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu habari za usiku? Kuna habari kutoka SUA zinansema wale vijana waliochaguliwa kozi ya Bsc Agricutural Education leo wamebadilishiwa kozi. Wameambiwa wasome Bsc Education (Agriculture and...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Sina uhakika ila kuna jamaa ninae muamini sana kanambia maeneo ya makao makuu ya wilaya ya mvomero kuna ajali mbaya iliyohusisha malori mawili na noah moja.Habari mbaya ni kwamba inasemekana roho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf. Nimekuwa napata shida kumwelewa huyu anayeitwa sheikh ponda, hivi anawakilisha kundi gani la waislamu? Amekuwa akiendesha mapambano dhidi ya BAKWATA, SERIKALI NA SASA WAKRISTO...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Habar wana jf, jana jion nilikuwa kwnye misa kanisa la chang'ombe tmk,padre aliyeendesha hyo misa alisema kuwa ameckitishwa sana na kifo cha RPC wa mwanza,kwan anamjua walisoma nae seminary na ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimejiunga na huduma hii kwa shs. 17,500. Pesa wamekata lakini huduma sijapata licha ya kupata ujumbe toka airtel ukiagiza nitoe battery na kuiweka tena ndo ntapata huduma. Nimefanya hivyo lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
timu ya tume ya mabadiliko ya katiba, inatarajiwa kufanya jumla ya mikutano 56, katika kata zipatazo 60, ikiwemo mkutano mmoja katika kila kata 10 za wilaya za mkoa wa mtwara. akitoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimemuona ITV yeye na membe wakiwa wanashangaa paa la jumba la mfalme wa oman!akirudi ikulu nayo kukarabatiwa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Oo TANU yajenga Nchi, Oo TANU yajenga nchi x2 Oo Nyerere ajenga Nchi, Oo Nyerere ajenga nchi x2 Oo Karume ajenga nchi, Oo Karume ajenga nchi x2 etc, etc... 1. Kwanza, umekumbuka nini katika wimbo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Huu ni mtazamo wangu tuu serikali ilikuwa ianze kutumia au kununua gari za bei nafuu kwa watumishi wake wa ngazi za juu. Sasa leo katika pitapita zangu posta nimeshangaa sana kuyaona ma v8 mengi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekutana na hii habari BBC kuhusiana na fast lanes za mabasi yaendayo kasi. Tayari huko India controversy imeanza kutokea. Je hapa kwetu tumejiandaa? Nawasilisha. By Rajesh Joshi BBC Hindi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zanguni, najiuliza hili swali nanyi naomba mnisaidie jibu. Iweje kitendo ambacho kinatafsiriwa na wengi wa waislamu wapenda AMANI kuwa ni cha kihuni kinapongezwa na Radio Imaan na wafuasi wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtanzania mimi nina umri wa kutosha lakini hawa wanyama pori nawaona katika TV, na kusikia pembe zao zimekamatwa sehemu mbali mbali duniani, nimeona wanyama wakivuka mpaka kwenda nchi jirani...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Je unamkumbukaje kisiasa,kijamii,kiuchumi na kitamadun? nahitaj kufahamu alikuwa ni mtu wa namna gan!
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Kwa muda wa siku mbili sasa nimekua nikikutana na maji yanayokaribia kwisha muda wake ama muda wake wa kutumika kuwa umekwisha kabisa.Leo nimenunua maji ambayo muda wake wa kutumika uliisha tangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika hotuba yake huko Shinyanga wakati wa kuzima mwenge, J.K pamoja na mambo mengine aliwawosia Watanzania kuwa na subira katika kuchukua maamuzi. Alisema ya kuwa siyo jambo la busara kuchua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kweli nimeamini kwa nini mungu wetu yesu umeitwa mfalme wa amani...sasa naweza kupinga wewe sio nabii issa.na bila shaka wanafanya makosa kukutambua kwa jina hila. Nakupenda yesu wetu kwa kuwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…