Blackberry kamili toka Airtel kwa Shs. 17,500. Pesa wamekata, Huduma haipatikani.

Rapture Man

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
439
145
Nimejiunga na huduma hii kwa shs. 17,500. Pesa wamekata lakini huduma sijapata licha ya kupata ujumbe toka airtel ukiagiza nitoe battery na kuiweka tena ndo ntapata huduma. Nimefanya hivyo lakini sijapata kitu.

Wadau mnasemaje juu ya hili? Nafanyaje kutatua hili tatizo. Au ndio nimeingia chaka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom