CLOUDS FM ndiyo radio inayopendwa na kusikilizwa zaidi Tanzania . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CLOUDS FM ndiyo radio inayopendwa na kusikilizwa zaidi Tanzania .

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kupe, Oct 15, 2012.

 1. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  na kibonde ndiye mtangazaji anayependwa kusikilizwa zaidi .
  Mfano 90% ya wana jf wanasikiliza jahazi na wasikitika wakikikosa hicho kipindi.
  Source...... research yangu mwenyewe
  mfano.....(HAIPITI WEEK BILA JF KUMJADILI KIBONDE. means hata jf wanamsikiliza.... Na kumjadili means wamemkubali)
   
 2. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sidhani nadhani hiyo wanaipenda sana vijana wa dot com.Kama ni research yako,publish the data tuone.
   
 3. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Nahisi unapima upepo. Subiri tu utapata majibu yako
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Utakuwa umetoka kwenye MAZISHI
   
 5. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,027
  Likes Received: 3,218
  Trophy Points: 280
  Muulize kwanini kwenye ishu ya Waislam huwa anapata akili na anacomment kwa kutumia akili?

  Kwa ishu za wakristu, mfano ya Kakobe na umeme alikua namtukana na waumini wake, kwanini kwa wakristu anakosa adabu?
  Huwa anafanya makusudi?
  Je leo atawalaani waislam kwa uharibifu waliofanya?
   
 6. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  au wewe ndio kibonde mwenyewe? poor you.
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  tanganyikajeki uwe unashirikisha ubongo wako kabla ya kupost humu jamvini... Hapa sio facebook kule kwenye group lenu la tanuru la fikra....
  Otherwise labda utakuwa umelewa. Mara 100 nimsikilize sheikh ponda radio imaan lakini sio huyo kibonde
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Clouds Ndio nini? Au ni Mawingu? Na kibonde ndio nani? Au ni Small Valley?
   
 9. CHABURUMA

  CHABURUMA Senior Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kajipanga hiyo haiingii akilini hata kidogo. Hao wafu nimeacha kuwasikiliza kitambo. Usipime upepo!
   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Naona anapima upepo..
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  specific clouds ni kwa watoto wa shule,,,,,,kama ruge anakulipa kamdanganye INAKUBALIKA,kama wewe mtoto wa shule (chuo)hiyo redio yako
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wengine hata hatuijui kabisa
   
 13. Johas

  Johas Senior Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I beg differ with u...., Ni MTAZAMO WAKO...,Sidhani ni research kama unavyobainisha coz,...Has No FACTS.!!

  whether you can prove otherwise..
   
 14. Johas

  Johas Senior Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I beg differ with u...., Ni MTAZAMO WAKO...,Sidhani ni research kama unavyobainisha coz,...Has No FACTS.!!

  whether you can prove otherwise..!!, lakini kwa iyo random data uliyotumia hapa JF...Njoo kivingine na research yako...beg differ with you ONCE AGAIN.
   
 15. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwanza hili ni tangazo la biashara inabidi ukalipie! Halafu pili fahamu kuwa Clouds inapata nafuu za kuenea haraka tz kwa ukaribu wake na magogoni! Kama redio nyingene zingepewa playground sawa na hao unaosema wanaongoza kwa kareseach kako finyu kengekuproove wrong!
  Lakini kumbuka inayovuma sana mwisho hupasuka!! na mwenda pole hajikwai
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  si kweli kabisa
   
 17. p

  pilau JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ......... Hizi tanganyikajeki zilitumika sana zamani siku hizi zimepitwa na wakati... sema wewe ndo unaipenda Clouds... na unamapenzi na huyo Kilima...... swala la taja mtangazaji mmoja mmoja haiingii akililini .. karibu kila radio hata zile za madhehebu ya dini kuna watangazaji ambao watu wanawakubali mfano wapo radio - Anthony Joseph, Praise Power John Kissaka, radio zingine kwa uchache ... Magic FM Kibwana Dachi, TBC Sued Mwinyi, Radio 1 Deo Rweyunga, Times FM Gardener Ghabash... nk, nk, kila mtu anamapenzi yake... usiazimishe tumpende Kilima
   
 18. mchafukobe

  mchafukobe JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  ww utakuwa unafikiria kwa kutumia masaburi
   
 19. Root

  Root JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,206
  Likes Received: 12,918
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa kakopa akili tena anadaiwa

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 20. Johas

  Johas Senior Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ha!ha!ha!..,dah! umenifurahisha sana Mkuu Pilau na iyo KACHUMBALI yako ya KILIMA....radha swaafii!
   
Loading...