ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,984
- 360
Habar wana jf, jana jion nilikuwa kwnye misa kanisa la chang'ombe tmk,padre aliyeendesha hyo misa alisema kuwa ameckitishwa sana na kifo cha RPC wa mwanza,kwan anamjua walisoma nae seminary na ni mtu aliyekuwa ni mcha mungu,hvyo amesikitishwa sana na kifo chake,na akasema tumuombee kwa mungu alale mahali pema.
Kwa mtumishi wa mungu kusema hvyo sawa, je ni sawa kwa sisi wengine kumuombea marehemu alale mahali pema?
ukizingatia kuwa rpc alikuwa anafuata maagizo ya selikali ambayo mengi yake yalikuwa ni kukandamiza wanyonge? pia hata kifo chake bado hakijawa wazi nn ni chanzo chake, mm binafsi naona ni mapema sana kumuomba mungu amlaze mahali pema.
Nawaslisha