Heri wenye moyo safi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heri wenye moyo safi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KITENGE KOFIA, Oct 15, 2012.

 1. K

  KITENGE KOFIA Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli nimeamini kwa nini mungu wetu yesu umeitwa mfalme wa amani...sasa naweza kupinga wewe sio nabii issa.na bila shaka wanafanya makosa kukutambua kwa jina hila.
  Nakupenda yesu wetu kwa kuwa umetuandaa tusipigaie imani yako kwa njia ya mwili,ulijua hapata kalika...bado mlango uko wazi karibuni kwa mfalme wa amani,mungu mwenye nguvu
   
 2. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,439
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  Amen,,yesu si nabii isa ni upotoshaji
   
 3. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie huwa nawambia hatuabud kile wanachokiabudu, Yesu si mwanadam japo alijishusha akazaliwa kwa mwl ili kuleta usawa,angekuja kimungu asingetimiza lengo lake mana tngemwogopa! Tunatafta nafasi ya mbinguni ndo mana hatpgan vta ya kimwl,sie twapgana vita vya kiroho dhd ya pepo wachafu na majini! Mwl tutauacha! NA ROHO YA MAUAJI KAMWE SIO YA MUNGU,labda Allah na mtume muddy!
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,882
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Hivi kwani marehemu mtume aliwafundisha haya wayafanyao mie mbona sielewi na nashndwa kumlaumu mohamed moja kwa moja
   
 5. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Ametunukiwa jina lipitalo majina yote Yesu hawezi kuwa Issa. Yesu ni Yesu mbona sisi hatujamtaja huyo wao wamtaje Yesu kwao waone nguvu zake Yesu hatajwi kwao wanajua moto wake. Kila goti litapigwa mbele ya jina hilo ukilitaja tu. Chezea kila kitu lakini Yesu kiboko.
   
 6. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  AMEN,yesu ni njia ya Amani,hapo mwanzo kulikuwa na neno..........kumbe neno ni MUNGU.
   
 7. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,439
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  and the Word was with God,and the Word was God.,through him all things were made;without him nothing was made that has been made.
   
 8. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  Matayo 5:8 Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.
   
 9. K

  KITENGE KOFIA Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanafunz wanachokipraktize ndicho walichofundishwa.........mwanafunz anavyoonekana aamwakilisha mwalimu wake
   
Loading...