Nyama za Porini ni kwa ajli ya wakubwa tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyama za Porini ni kwa ajli ya wakubwa tu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pilau, Oct 15, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mtanzania mimi nina umri wa kutosha lakini hawa wanyama pori nawaona katika TV, na kusikia pembe zao zimekamatwa sehemu mbali mbali duniani, nimeona wanyama wakivuka mpaka kwenda nchi jirani lakini nyama zao sijaonja.. nifanyeje ili nani nionje nyama za porini ........kama nyumbu, swala hata digidigi jamani? wengine wamepakiwa ndani ya ndege wakiwa wazima .... jamani nifanyejee?
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nenda brake point kama upo dar es salaam!
   
 3. p

  pilau JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Sawa.... mkuu nitajaribu.....kama kuna uhakika wa nyama ni za porini kweli, pale break point lakini naambiwa wanachanganya na nyama ya mbuzi...na mara nyingine unaambiwa kuku wa kienyeji kumbe ni wale wa mayai waliomaliza kutaga broiler
   
 4. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Mbwa tayari???Paka je???
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Nyama ya pori kama upo Dar es Salaam mbona Mbagala na maeneo ya Chamanzi inapatikana tu.Si unajua tena kule wawindaji wanachepuka kidogo Selous wanakuja na kitu kamili.Anyway kajaribu zile za Break Point ingawa mimi sina uhakika sana kama ni za porini.Nasema hivo kwa sababu hao jamaa wa breakpoint wao ni akina nani wanaruhusiwa kuwinda mwaka mzima? Nachojua msimu wa uwindaji unaanza mwezi wa 7 mpaka mwezi wa 12 lakini pale iwe Januari, February yaani mwaka mzima wana nyama ya pori du haya kale l;akini siwaamini sana.Mimi ni mtaalamu wa nyama ya porini mfano nyumbu, nyemera, swala, mbogo, pundamilia na kongoni radha yake naijua.Lakini nakuambia tokea nianze kula pale break point nikiagiza nyama ya pori sijawahi kusikia radha ya wanyama hao sasa kama ni hivo wao wanachinja wanyama wa aina gani
   
 6. p

  pilau JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ndo maana nilikuwa nalalamika . serikali basi ingefanya mpango wa watanzania kupata nyama za porini kwa uhalali.. unajua wanapokataza bila utaratibu wanasababisha nyama hiyo ipatikane kwa kificho ......... na magendo kwa sana....
   
Loading...