Hivi shekh Ponda anwakilisha kundi gani la waislamu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi shekh Ponda anwakilisha kundi gani la waislamu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by joline365, Oct 15, 2012.

 1. j

  joline365 Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf. Nimekuwa napata shida kumwelewa huyu anayeitwa sheikh ponda, hivi anawakilisha kundi gani la waislamu? Amekuwa akiendesha mapambano dhidi ya BAKWATA, SERIKALI NA SASA WAKRISTO, Yeye ni alqida, al shabab, boko haram au ni nani hasa?. Na kwa nini anaendesha harakati zake bila vyombo vya dola kumchukulia hatua? Naomba kujuzwa kwa wanaomwelewa huyu jamaa.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Nadhani hajavunja sheria, akikiuka sheria atachukuliwa hatua mara moja.
   
 3. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Anawakilisha genge la wahuni tu, wasio na tumaini kwenye maisha yao. Hakuna chembe ya Uislamu kwenye hizo harakati zao. Uislamu wa kweli ni AMANI na USTAHIMILIVU.
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  simba wa mungu ndio kundi lake
   
 5. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  al shabab , janjaweed ,ant- bakwata ,uamsho,al qaida, muslim brother hood
   
 6. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Wale wanaofuga NDEVU kama Osama Bin Laden
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  muislam yeyote ana haki ya kuusimamia uislam na haki zake ktk jamii,naye anafanya hivyo
   
 8. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mwaka huu mtajamba cheche......maana anavyowakuna mpaka mnapata raha..
   
 9. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kabla ya kujiuliza hayo maswali yako, omba wadau tupate angalau profile ya elimu yake kwanza
   
 10. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kama huyu!! unategemea nn cha maana kutaka kwake?

  Nahis ww na ponda mpo sawasawa!!

  samahan km nimekuudhi
   
 11. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,428
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Anawakilisha muhammad S.A.W
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  anawakilisha wenye msimamo mkali.. Stay tuned soon ataanzisha kundi lake alike al shabaab,al qaeda , al ponda , etc.
   
 13. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa ajiangalie sana"mark my word" simwombei mabaya ila ajue Mungu wetu aliyetuumba si wa vurugu wala visasi kwani angesha angamiza dunia siku nyingi.Mungu huwa anawaacha watu kama yeye kuishi kwa sababu maalum na kwa wakati maalum .Pia ajue uhai,amani na uhuru wa wanadamu wengine ni wadhamani kuliko hata wa kwake na hicho anachokitetea.

  Matayo 10:16 "Sasa, mimi nawatuma ninyi kama kondoo kati ya mbwa mwitu. Muwe na busara kama nyoka, na wapole kama njiwa"
  Matayo 5:5 "Heri walio wapole, maana watairithi nchi"
   
 14. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ponda yuko sahihi, tatizo mnamshambulia yeye kama yeye badala ya hoja zake. zisikilizeni hoja zake na wekeni ushabiki na upenzi pembeni mtamwelewa tu. bakwata ni taasisi ya ccm na si waislam. na muasisi wake ni yule yule muasisi wa ccm mwl nyerere.
  na waislam wameichoka kama cuf na chadema walivyoichoka ccm.
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Ukichunguza kilichotokea Mbagala hivi karibuni ambapo makanisa yalichomwa moto na wahuni waliojiita waislam, unagundua kuwa kumbe kilichosababisha vurugu si kitendo cha mtoto kunajisi Korani bali chuki, ujinga, husuda na kukata tamaa. Kilichotokea Mbagala ambapo watoto wajinga wawili walibishania juu nguvu za imani zao kingetokea Masaki wala hakuna ambaye angepoteza muda.


  Hata mahuburi ya kijinga yanayofanywa na watu kama Ponda Issa Ponda huwa hayapenyi Masaki. Mikocheni, Kunduchi na maeneo mengi ya wenye nazo. Hivyo tatizo kubwa tulilokuwa nalo ni kuwa na watu wengi wajinga na maskini waliokata tamaa kiasi cha kuweza kutumia kisingizio chochote kuonyesha hasira zao. Hii huitwa venting kitaalamu ambapo mwenye hasira hutafutia sehemu ya kuzitolea au kuzitapika.


  Wenye kusoma na kufahamu dini watanikosoa. Hata kama hicho kilichotokea kingetokea wakati wa mtume Mohammad asingeamuru upuuzi kama ulioshuhudiwa Mbagala. Nani mara hii kasahau jirani yake Mohammad aliyekuwa akijisaidia njiani mwake ili kumuudhi kila kukicha hadi siku alipougua akashindwa kufanya hivyo na Mohammad akamwombea na akapona na kusilimu? Tuhitimishe kwa kusema wazi kuwa vurugu za Mbagala zilivikwa udini lakini ukweli ni vurugu za kijinga na kimaskini.
   
 16. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
  anawakilisha Uhalisia wa Dini ya Kiislamu Vurugu Wivu na Mauaji ya Upanga kwa wasioUamini ili Alah akampatie Mabikira 72 huko Kuzimu kwao
   
 17. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Hivi kwani na hili la Mbagala Sheikh Ponda amehusika pia?
   
 18. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,721
  Likes Received: 7,982
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio muislamu safi, nimekujua kwa maneno yako. HAkika Marehemu Mwamedi ameacha nyuma wafuasi watiifu
   
 19. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu unaonekana uko vizuri.
   
 20. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Mbagala Sheikh Ponda hakuwepo, Bali alikuwepo Chang'ombe kukomboa kiwanja kilichotapeliwa na BAKWATA + MANJI
   
Loading...