Kama waliochoma makanisa Mbagala ni wahuni, kwanini radio Imaan na Ponda wanawapongeza??

telitaibi

JF-Expert Member
May 2, 2012
551
106
Ndugu zanguni, najiuliza hili swali nanyi naomba mnisaidie jibu. Iweje kitendo ambacho kinatafsiriwa na wengi wa waislamu wapenda AMANI kuwa ni cha kihuni kinapongezwa na Radio Imaan na wafuasi wa ponda?? Najua kuna watakaomwaga mapovu hapa lakin pia nategemea majibu makini
 
kama kweli ni wahuni,basi mponda na wamilik or uongozi wa hiyoredio no wahuni pia.
 
Siyo Wahuni ni waislamu sawa na Kuruwan yao inavyoagiza Ukiua for Alah huko Kuzimu kwao utapewa Hurulein Bikira 72 wenye macho kama Vikombe. Wanatekeleza Agizo la Ala wao Kama Duniani hujaonja Bikira huko utapewa 72 ujifaidie huko Peponi Kwa ahadi hii utaacha kuua? Ponda keshaandaliwa wa kwake tayari huko
 
Back
Top Bottom