Ajali maeneo ya mvomero wilayani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali maeneo ya mvomero wilayani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Oct 16, 2012.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sina uhakika ila kuna jamaa ninae muamini sana kanambia maeneo ya makao makuu ya wilaya ya mvomero kuna ajali mbaya iliyohusisha malori mawili na noah moja.Habari mbaya ni kwamba inasemekana roho zote ndani ya noah zimepotea.Naomba isiwe kweli.
   
Loading...