Mashangingi,v8,kilimo kwanza Nazani yameongezeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashangingi,v8,kilimo kwanza Nazani yameongezeka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by i411, Oct 15, 2012.

 1. i411

  i411 JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Huu ni mtazamo wangu tuu serikali ilikuwa ianze kutumia au kununua gari za bei nafuu kwa watumishi wake wa ngazi za juu. Sasa leo katika pitapita zangu posta nimeshangaa sana kuyaona ma v8 mengi na hizi namba za STK,STJ na SU kwani sikuizi wanaandika tuu request hata wasaidizi kupewa hayo nini manake nimeyaona mengi mpaka nikaogopa labda nilikuwa sioni vizuri.... Kunae anayejua nini kinaendelea au ulempango ulikuwa kiini macho cha magari ya bei nafuu.....Au mpaka iundwe katume/kamati?
   
Loading...